I'm looking for matured Man to be my husband

Habari,Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30.Ni mwajiriwa na Nina elimu kiasi.Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili.
Ninayemuhitaji;
Awe mkristo
Awe matured Man mwenye kujitambua.
Awe muwazi
Awe na Nia ya dhati.
Karibuni Pm.
Kila la kheri dear....wakija wengi wengine nawaomba ila uwaambie me nna miaka 32
Mmoja kati yenu naamini atakuwa wangu!

Hebu njooni tujadili kidogo.
 
PM.

Sina mambo mengi, mimi mkaa ndani tu.

Sinywi Pombe, Sivuti Sigara, Sibet, Si Shabiki Saana Wa Kitu Chochote Hata Mpira, Niko Fair Na Mvumilivu, Napenda Kufikiri, Sili Sana.

Napenda Maisha Ya Kiasi.

- Udhaifu Wangu.

Nina Huruma Sana Hivyo Dharau Ikiwa Too Much Huwa Nakasirika Sana.

Ni Mvivu Sana Kupika na Kufua na sipendi mwanamke mwongeaji saana
 
Hapo kigezo cha matured kimekuua mkuu

PM.

Sina mambo mengi, mimi mkaa ndani tu.

Sinywi Pombe, Sivuti Sigara, Sibet, Si Shabiki Saana Wa Kitu Chochote Hata Mpira, Niko Fair Na Mvumilivu, Napenda Kufikiri, Sili Sana.

Napenda Maisha Ya Kiasi.

- Udhaifu Wangu.

Nina Huruma Sana Hivyo Dharau Ikiwa Too Much Huwa Nakasirika Sana.

Ni Mvivu Sana Kupika na Kufua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom