Nilipomwambia nampenda alikataa katakata lakini kwanini ananiita "mpendwa"

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273
Nimetokea kumpenda huyu mtoto sana mwanzo alikuwa akiniita kaka, yaani kaka kwa nahisi hakupenda kunikata jina moja kwa moja.

Lakini siku zilivyoenda moyo ulimpenda sana sana, siku moja ikabidi nimwambie la moyoni akakataa na kwamba yeye bado hajakuwa tayari kuingia katika mambo haya ni mwanafunzi wa chuo ingawa kwetu ni kumoja. Alivyonambia hivyo wala sikumlazimisha nikatulia zangu.

Lakini cha kushangaza sasa akiniandikia sms kama kuniuliza hali huniita "mpendwa" ambapo jina hili limeanza mara baada ya kumueleza nampenda. sasa sijui nishike wapi.

Naomba fatwa zenu wajuzi wa mambo haya.
 
Nimetokea kumpenda huyu mtoto sana mwanzo alikuwa akiniita kaka, yaani kaka kwa nahisi hakupenda kunikata jina moja kwa moja.

Lakini siku zilivyoenda moyo ulimpenda sana sana, siku moja ikabidi nimwambie la moyoni akakataa na kwamba yeye bado hajakuwa tayari kuingia katika mambo haya ni mwanafunzi wa chuo ingawa kwetu ni kumoja. Alivyonambia hivyo wala sikumlazimisha nikatulia zangu.

Lakini cha kushangaza sasa akiniandikia sms kama kuniuliza hali huniita "mpendwa" ambapo jina hili limeanza mara baada ya kumueleza nampenda. sasa sijuw nishike wapi.

Naomba fatwa zenu wajuzi wa mambo haya.
Aisee ww Kaka angu kumwita mtu mpendwa kawaida mbona mbona mtu ninamwita hadi my lovely. Dear na ni rafk tu wa kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna demu huwa ananiita dear, my, siku niliyo mtongoza akaanza kuniambia hivi unajua nilikua nakuheshimu sana? Dah ilibidi nianze kuomba msamaha

Sent using Gun Trigger
 
Hayo ni majina tu,hayana uhusiano wowote na unachofikiri;baada ya kumtafuna ndio utakuwa sahihi na unachokifikiri
 
Back
Top Bottom