Nampenda ila ananitesa sana, nakonda kisa Mapenzi

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,218
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.

Tatizo langu la mapenzi,poleni kwa usumbufu ila niko katika wakati Mgumu.

Kuna Dada jirani alitokea kunipenda akatengeneza urafiki na Mimi, akawa anakuja kuangalia mpira kwangu wakati mwingine akawa anakaa tunapiga story mpaka tano usiku, tukawa tunachati mpaka saa saba saa nane, dada yangu jirani akaniambia demu ananipenda hawezi kuja anakaa mpaka usiku,demu jiran akanizoea sana sana akirudi job hazipiti siku tatu bila kuja home sometimes mchana tukichat au hata usiku akawa ananiuliza niko na nani nafanya Nini? Au nimekula Nini?

Maswali yakawa yananistua,anamtoto mmoja alishaachana na Baba watoto wake,ule ukaribu wangu na Dada jiran,ukawa unamuumiza jirani wa nyumba ambayo demu alienizoea ukawa unamuumiza kumbe,akaja akaniambia mwanamke Malaya anatoka na mtu fulani akaongea maneno Mengi sana akaniambia ukitaka kufanya nae tumia Kinga.

Niliishiwa nguvu nikajiuliza huyu mwanamke kwa Nini? Aje aniambie maneno yote haya,isitoshe akaenda kwa dada jiran nae akamwambia alikuja kunichamba kuhusu mazoea na yule Dada,dada jiran akaniambia nae huyo alikuja anakupenda sana nikamwambia mbona mke wa mtu kwa Nini? Asitulie na Mume wake?

Muda ukafika nikafunguka kwa Dada kuwa nampenda akanizungusha kidogo akakubali Sasa akawa mgumu kupokea vitu vyangu vizawadi vidogodogo kama matunda hivi ,kutoa uchi ikawa shida ila kama nikipotea machoni mwake masaa 6 au kama sijamtext ataniuliza wapi nilipo Au kwa Nini? Namchunia.

Nilivyokuja kuchunguza mshkaji nilioambiwa anatoka nae kumbe hakuwah kutoka nae na ukaribu kitambo ulikatika,nikampotezea demu baada ya kuona ananiringia demu akanipigia simu niko kimya kwa Nini? Nikamchana kuwa anajiskia,akasema akirudi home jioni atakuja nikamwandalia Heinken 5 akaja jioni tukapiga story sana mpaka saa sita

Mshkaji akasepa kwao,ilivyofika saa akawa anataka kwenda kwao nikamzuia akatulia tukaa mpaka saa nane ndio tukaenda kulala hakupenda kuvua nikatumia nguvu nyingi kumbaka tu,mapema alfajiri akaondoka kwake akajiandaa kwenda kazini,akaja siku nyingine nikambaka kwa kazi tena, akaja siku nyingine akatoa bila kipingamizi ila shughuli kupokea vitu vyangu akiwa na shida najitahidi kusolve ila kuna siku kabla hatujafanya alisema hajala mchana nikamtumia pesa kwenye mtandao tofauti na number yangu akanipigia kuniuliza kama nimemtumia pesa.

Mapenzi ya kawa moto akiwa na hamu ananitafuta usiku wa saa nne tano au sita anakuja home namkuna, nikamlipia pango nikamnunulia smartphone ,pesa ananiomba kama salary imechelewa kutoka nikajitahidi sana kucare na hata mwenyewe anakir hajawah kukutana na mwanaume anaejua kucare kama Mimi.

Shida ikaja baada ya kupunguza ukaribu wa kuja kwangu,hapo mgogoro ukaanza , akawa anasema kazin mara hili mara lile aaah mara nataka kummili kama nimemuoa,akaniambia kama nataka nimuone kila siku nimuoe nikasema fine niko teyar akapotezea,nikamkumbusha tena akasema hayuko teyari kwa Sasa.Ila yeye anasema anaupendo kwangu ila Mimi nampenda kupita Kiasi na ninamuwazia vibaya.

Kuna siku nilimtuhumu kuchomoka kwake da aliwaka akamleta Mama yake kutoa ushahidi kuwa hakutoka,kikubwa mgumu kutoa uchi eti anipe kabla ya period na baada ya period kitu ambacho sikubaliani nacho.

Kuna siku nikamwambia kama amepata mwingine aniambie tu yaishe anasema hana mtu zaidi Kiukweli nimedhoofu sana kula kwangu ni mtihani sana Nashindwa kula.

Nimemuomba tuachane hataki amasema Mimi sio muelewa anachoka na kazi ila weekend yupo tu namuona ila kuja kukaa tukapiga story haji .Jana kasema kama nimeamua kumuacha poa hana pingamizi ila ananipenda na hata acha kunipenda.


Dada nampenda sana ila naumwa kula sili namuwaza hata kulala silali,kunakimpindi nilimtuhumu kama kaniendea kwa mganga akaniambia asiende kuwaroga wabunge aje aniroge Mimi?

Sio mpenda pesa wala Sio mpenda stareh ila ni mzur akaunti ya fb yake ninayo naingia inbox Watu kibao wana muapproach anawapotezea.

Nimeshindwa kabisa kumuelewa huyu Mdada.


UPDATE

Nikaamuua kuuchuna,siku ya Ijumaa tar 3/3/2017 natoka home naenda zangu Zenji kupunguza stress mnamo saa saba akanitext kwa furaha kabisa na kunitakia mchana mwema,nikapotezea .Alasir nikamjibu haraka akanitupia swali mara ya mwisho kusex lini,nikamtajia siku za tarehe mbili tofauti baada,dk 20 akanipigia simu ni mjamzito.Nikastuka nikapotezea nikahisi njia ya kurudi kwangu,usiku akapiga simu mara nne (niliziona missed call kamat tano usiku) jioni wakanipigia kwa namba ngeni,sikupokea simu ya mtu wowote.
Jumapili jioni nikarudi nyumbani ,jumatatu ndugu yake aliekuwa anamficha mahusiano yetu akanipigia nikaongea nae then akaongea nae mwenyewe,yeye mlengwa akanitext sms kibao za lawama,nikamwambia akitoka job ate tuzungumze.Jioni akaja tukazungumza nikampa option akasema Mimi niamue,nikamwambia aiache,ila nika doubt kama kweli siku ile ilikua hatar yeye kupata mimba,akakasira akamchukua mwanae akatoka,kisa Mimi ku doubt mimba na kuhisi hana,usiku nikambembeleza kwa ikashindikana akazima na simu.
Mamake akaingilia kati,wakaja kupata solution nikawa teyar kuhudumia Dada akakataa katakata na kutaka kuitoa kama hata sitatoa ushirikiano ,alisema siwezi kumhudumia. Solution ikapatikana kunzia hapo chuki imeongezeka maradufu juu yangu kiasi hata kumjulia hali akawa anaona kero simu zangu akawa hapokei,sms hajibu wala akijibu hajibu kwa wakati,nikamuuliza kosa langu lipi akasema Mimi mlalamishi ndio maana hata sms zangu hajibu,mawasiliano yakawa kwa Mama nikawa napeleka huduma ili alicove vizuri,Nikaona upuuzi kumjulia hali kwenyewe nikamwambia sorry kwa usumbufu tangu Jumapili mpaka leo nimeuchuna zangu kimya.

UPDATE

Baada ya uchunguzi nikagundua yule yule niliekua namtuhumu ndio alikua anakula mzigo ni Mshkaji alikua anaangalia mpira kwangu,anakula kwangu hata beach tulikua tunaendaga kama washkaji,kuna siku Demu nilimtuhumu kutoka kwao nakurudi alikataa kata kata akamleta Mamake kunithibitishia kuwa hakutoka.Demu akawa ananicheck kwa Nini? Niko kimya iyo siku nikamtolea uvivu kwa kuwa nilikua na ushahidi wa kutosha,kumbe Demu alikua analalaga kwa Mshkaji Asubuh anaenda zake job,siku za weekend anarudi Asubuhi. Washkaji wakambana Mshkaji akawapa live,ila Demu amekataa katakata,sasa ajabu Demu ananiongelea vibaya mara oooh Mimi katuni tu simpandishi nyege,mara vile na mtaka bado.Cha ajabu kwangu anakuja kuangalia mpira wakati kuna nyumba jirani kuna banda la mpira haendi Sasa najiuliza anafuata nini kwangu,nikaamua alipe pesa,siku kaja akajua business as usual akadaiwa pesa,hakua nayo akatoka,mechi iliofuata akaja na pesa,baadae akawa analipa akijiskia ,nikaona sio fair nikamwambia asiwe analipa eeeh katokanje akawa anamsimulia shost wake kuwa namtaka nilimbembeleza asilipe.Nikaona hapendeki nikamwambia dogo amdai pesa akashangaa kudaiwa akalipa. Kinacho niuma ananisema vibaya sana wakati yeye ndio chanzo cha Mimi kuachana na yeye hata nikimpa hai anapoteza ilamazingira yangu anajipendekeza
 
Kubaka unabaka,kula mke wamtu unakula na bado unajiuliza una mkosi gani...ukiangalia hapo hao wanawake wote huwamiliki ww,namaanisha mmj anamtoto manake kuna kidume wanamawasiliano na wapili mke wamtu....tafuta wako mjomba
 
Story ndeeefu inachoosha ungeipunguza bana. Inaonekana huyo mdada ni mwanamke wako wa kwanza,unabaka tu kisa umemnunulia pombe aiseee!??

Halafu ni uswahilini sana huko kukaa mpaka saa sita nane usiku na mnasindikizana kurudi home!!??
Pombe nilimnunulia mara moja tu,nyumbazetu ni jirani akiingia au Mimi nikisimama getini kwangu namuona kibarazani kwao
 
Kapanga Mimi nakaa kwetu,mimi najitegemea na yeye anajitegemea Mamake kaja na ndio alimleta kwangu kutoa ushuhuda kuwa hakuondoka usiku kwenda kokote
Sasa kijana wangu unakaa kwenu halafu "unajitegemea"? Nilidhan una mjengo wako au umepanga kabisa au inakieaje apo hebu fafanua

Nikushauri tu we nenda naye mdogo mdogo wasichana wa ivo wanazingua sana sana. Kama hana mtunkomaa naye ila ukigubdua anacheat temana naye
 
Sasa kijana wangu unakaa kwenu halafu "unajitegemea"? Nilidhan una mjengo wako au umepanga kabisa au inakieaje apo hebu fafanua

Nikushauri tu we nenda naye mdogo mdogo wasichana wa ivo wanazingua sana sana. Kama hana mtunkomaa naye ila ukigubdua anacheat temana naye

nyumba ya familia Mimi ndio naishi Sio kama sijiwezi,ukisoma vizuri utaelewa ninavyomhudumia

nahisi alivyochange kuja kwangu wakati yeye mwenyew alinitengenezea mazingira niwe mpenzi wake ingawa mwenyewe anakanusha kabisa
 
"nampenda kula sili namuwaza silali"

mmmh mapenzi mubashara kila mwanamke anatamani kusikia hayo maneno kutoka kwa mpenzi wake.

Ushauri: huyo dada anakupenda ila kuna danga mmoja katokea pembeni huyo danga hampendi kivilee ila wenda kunakitu kimoja tu anachokipenda kutoka kwa huyo danga.
Sasa anashindwa afanye nn wakati wewe ndo unasifa nyingi kuzidi yule mwenye moja? Na hiyo moja ni muhimu kwake?

La kufanya: mchunie kama wiki hivi usikilizie:

toa ujinga kula na ulale huyo dada sio mama yako ingawa najua inauma kwa mtu umpendae.

Yote yakishindikana kunywa juice ya pilipili na limao.
 
"nampenda kula sili namuwaza silali"

mmmh mapenzi mubashara kila mwanamke anatamani kusikia hayo maneno kutoka kwa mpenzi wake.

Ushauri: huyo dada anakupenda ila kuna danga mmoja katokea pembeni huyo danga hampendi kivilee ila wenda kunakitu kimoja tu anachokipenda kutoka kwa huyo danga.
Sasa anashindwa afanye nn wakati wewe ndo unasifa nyingi kuzidi yule mwenye moja? Na hiyo moja ni muhimu kwake?

La kufanya: mchunie kama wiki hivi usikilizie:

toa ujinga kula na ulale huyo dada sio mama yako ingawa najua inauma kwa mtu umpendae.

Yote yakishindikana kunywa juice ya pilipili na limao.

da mwenyewe anasistiza kama ananipenda na anajua kama nampenda na leo kanitext kasema hawezi kunipotezea bado ananipenda
maneno yako yanaweza kwa 80% naweza kuyakubali
 
da mwenyewe anasistiza kama ananipenda na anajua kama nampenda na leo kanitext kasema hawezi kunipotezea bado ananipenda
maneno yako yanaweza kwa 80% naweza kuyakubali
sasa hapo ndiyo pazuri mpotezeee au mjibu majibu yake yale aliyokuwa anakujibu ya nyodo........ kuna mawili anaogopa kukupoteza sababu unajali na hakupendi au ni kweli anakupenda na anaogopa kukupoteza .. kama kweli anakupenda atahangaika penzi lenu pale utakapompotezea
 
Dada nampenda sana ila naumwa kula sili namuwaza hata kulala silali,kunakimpindi nilimtuhumu kama kaniendea kwa mganga akaniambia asiende kuwaroga wabunge aje aniroge Mimi?

[/QUOTE]


Hebu nipe mawasiliano yake anisaidie kumloga mtu fidenge hivi!!!
 
Back
Top Bottom