Tambua umuhimu wa wazee wetu kuhusiana na nguvu za kiume...

Sukye13

Senior Member
Apr 20, 2020
163
169
Kuna umuhimu wa kuzungumza na wazee, hususani wenye busara juu ya matatizo na changamoto zetu, hasa hili la upungufu wa urijari.

Wazee wana mbinu nyingi na wameishi miaka mingi,wanajua vitu vingi hivyo tukiwafungukia tutapata kujua mambo mengi zaidi..

Unakuta mzee ana wake wanne na mwingine wa mwisho ni binti kabisa, na bado anawawezea unafikiri wanatumia mbinu gani ambayo sisi tunakwama..
 
WAZEE WETU WALIKUWA NJEMA SANA, KAMA UNAONA NOMA KUONGEA NA MZEE WAKO WAPO WAZEE WA HIARI KIBAO TU UKIANZA NA JIRANI ZAKO
HILI JANGA NI ZITO NA LINATESA ZAIDI YA CORONA
 
Wazee n wakoloni mno unaanzaje kuongea nae hzo mambo
Sio lazima awe baba,babu au ndugu.. Unaweza kuwatumia majirani ukajenga nao ukaribu ukapata madini zaidi..
Mbona wazee wengi sana isipokua tunajenga dharau na hofu tu juu yao kwa kuhisi wamepitwa na wakati..

Tuwatumie.
 
Usasa unatuharibu
Wazee Wetu wanajua Mengi Sana

I'm on that good kush and alcohol
Ndo changamoto inayotukabili vijana. Tunaamini kwenye story za vijiweni kuliko madini waliyonayo wahenga wetu
 
Dah! Niliwahi kuongea na babu yangu mdogo from another bibi! Dah!
Babu ni aged lakini ana mke na kimada na alikuwa anataka kuweka ndani kabisa.

Nilijifunza mengi sana kutoka kwake.
Nikagundua, ndiyo maana tuhuma ni nyingi sana juu yake.

Talk to them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwahi au kuchelewa huo siyo ugonjwa mtadanganywa sana na wauza dawa, binadam tumeumbwa tofaut aise
Kuna anaewahi lakn uwezo wake wa kusimamisha ni fasta na Kuna anae chelewa lakn uwezo wake wa kusimamisha ni baada ya muda mref, chamsingi ni kuzingatia vyakula, matunda,mazoezi ukila chips maana yake nguvu utakua huna
Sasa we umeoa alaf unakula chips unapaka na vumbi la congo lazma ujitaftie ulemavu hapo

Sent using Gun Trigger
 
Na je kwa ambaye anawahi na bado anachelewa kusimamisha huyo tunasemaje mkuu.

Back
Top Bottom