Kwanini ujisumbue na wanawake magogo kitandani?

Status
Not open for further replies.

Airmanula

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
3,761
5,247
Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa Kitamu kama mwanamke ambaye anakuwa anatoa sauti kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au (sweet words).

Mwanaume akiwa kwenye game anapenda sana kujua mpenzi wake anajisikia vizuri kwa kile anafanya na kwamba mwanamke anaonesha total participation,

Pia vile mwanamke unatamka jina la mpenzi wako kwa manung'uniko ya kimahaba huleta raha sana pamoja na vikelele vingine kama vile ooooh! aaah! mmmh! nk humpa uwezo zaidi mwenzio kuendelea kukurusha kwa namna ya ajabu na kuweza kukuridhisha inavyotakiwa.

Kawaida mpenzi wako huaanza kukuuliza kama kile anafanya unakipenda na kwa njia hii ni vizuri wewe mwanamke kumweleza vile unajisikia na unaweza kuji-express kwa uwezo wako wote na hapa ndipo unaweza kuongea sweet word zote (ulizojifunza au kadri feelings zako zinavyokupa taarifa kwenye kiungo kile kinapata raha au kinaguswa kwa mguso mtamu zaidi) si unajua mapenzi ni sana na msanii mzuri anajua nini aongee na aongee namna gani na mwanamke umejaliwa kuwa na sauti ambayo kwa miguno na kulalamika kimahaba mnaweza kuwa na sherehe nzuri sana ya kuwa mwili mmoja.

Kuwa kitandani ni nafasi kubwa sana mwanamke kuweza kuonesha umaridadi wake haina haja kushona mdomo au kubaki kimya kama vile mwanaume amelala na gogo badala jitume kwa maneno na matendo, huu ni uwanja wako, mpenzi wako, jipe raha na enjoy raha ya mwili, labda kama wewe ni MALAYA kwamba unawaza mwenzio akojoe akupe chako uondoke.

Piga kelele kwa raha zako na unaweza kutamka kitu kizima kizima bila woga maana huyo ni baby wako.
 
Dahh mkuu ulikutana na gogo nini, maana ilikua usiku saa kumi na dakika takribani ishirini na nne.
 
Nafanya maandalizi mapema ili nisichelewe Kanisani! Naamua kufungua uzi wako nipitie kidogo, mara paah Mkuyenge umesimama! Mawazo kibao, kichwa cha chini hakitaki ushirikiano na kichwa cha juu!

Dah! Mzee baba subiria tukitoka Church! Tuta- comment.
 
Sometimes mwanamke akikutana na kibamia inakuwa ni ngumu kutoa ushirikiano endapo hutapata muigizaji!tupambane tu na hali zetu mabaharia wenzangu Billions


Sent using IPhone X
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom