Kama utani ndio imeisha hivi...

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu

Wiki ilopita nilileta uzi wangu hapa nikiomba kushauriwa kuhusu girfriend wangu kuamua kuniweka carantine ya mapenzi(Sex)kwa muda usiojulikana

Niliamua kufuata ushauri wenu wa kutoonesha tena uhitaji wa hiyo bidhaa,lakini ni wazi nlikua najiuliza sana kwanini ameamua hivo

So usiku huu akajilesi mwenyewe kuongelea hiyo issue na nikaona nitoe nyongo yangu
Na ni wazi kwa mazungumzo hayo atakua kajiongeza kwamba sihitaji tena hiyo service ya kupangiwa.

Kama nimekosea nisahihishwe

IMG_20200427_233041_000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijisikiagi Amani kuachana nademu kama sijaandaa nakuipiga show yamwisho yakibabe zaidi mpaka anaghairisha maamuzi yake alafu mda huo mimi ndio najisepea zangu hivyo. Mtu akikutishia panga wewe mkate nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom