Nimefahamiana nae miaka 9 iliyopita, wakati nafahamiana naye alikuwa na ugomvi na mchumba wake kuwa mchumba wake amezaa nje. Ni yeye alinipenda baada ya kuniona, ilikuwa kwenye social function...
Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa janga hili linalotukabili.
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba.
Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali.
Kwa...
NINI MAANA YA DHANA YA NDOA?
Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi...
Kama msichana ni mkali hawezi kuwa na rahisi na kama akiwa rahisi hawezi kuwa mkali na kama unastahili kuwa na hiyo msichana huwezi kukata tamaa na ukikata tamaa jua kwamba hustahili kuwa na hyo...
Kwanini Wanawake walio na Umri kati ya Miaka 38 hadi 48 ni wepesi sana Kutongozeka halafu ni Ving'ang'anizi sana Kimahusiano? Uzoefu wenu unahitajika sana Wandugu juu ya hili Suala nililolileta...
Nimekumbuka mbali sana unakuta uko na binti/mke/mpenzi wako
Kapokea simu labda anaongea na rafiki yake yaani maongezi yao utafikiri mtu na dada yake, ma love ya kutosha. Kusifiana n.k au utakuta...
Kuna mshkaji wangu mmoja tulisoma wote. Katika harakati za kutafuta maisha tukawa tumepotezana kidogo. Jirani kidogo na nnapoishi kuna jamaa tumezoeana anaishi na familia. Na hasa mazoea yalianza...
Nilianza nae vzr miezi kadhaa akapata ujauzito akiwa chuoni. Akazaa kuendelea na chuo na sasa ameshahitimu na mtoto ana miaka minne.
Nilitarajia akimaliza chuo nifanye taratibu za kuishi nae...
Natumaini nyote mu wazima wa afya.
Zikiwa zimebaki siku kadhaa nirudi mkoani kutulia na wife ambaye miezi kadhaa ilopita nilibahatika kutoa mahali kwa hiyo naweza nikasema naenda kuoa rasmi...
MODS NAOMBA MSIJE MKAUNGANISHA UZI HUU.
Better days, Nice friends, Beatifull Mommonts..
Maisha yanaenda kwa kasi sanaa, kuna nyakati kipindi hicho kabla dunia haijakubadilisha na kukukalibisha...
Ni wiki sasa nalazimisha penzi kwa jirani yangu hapa ofisini lakini majibu nnayokutana nayo Ni hayo kila kukicha. Sikati tamaa.
'Sitoweza kuwa nawe kwa sababu umeoa, namuogopa Sana mume wa mtu'...
Mwaka 2011, nilibahatika kuingia kwenye Mahusiano na Binti mmoja kwa Jina la Angel. Mimi nilipenda kumuita Malaika.
Alikuwa ni msichana wa kawaida, lakini kama akikupita au mkitazamana kama ni...
Katika pilika pilika za mapenzi kuna makossa ambayo tunayafanya na kujuta sana baadae na kutamani hata wakati urudi nyuma ili uweze kurekebisha makosa.
Mie nilikuwa na demu mmoja alinipenda sana...
Mu, hali gani wakuu?
Nafungua uwanja tuwe huru kuelezana ukweli vile ambavyo kila mmoja wetu angependa kuumbwa pengine tofauti na alivyo. Kwa mfano humu JF tupo Wanaume na Wanawake, hizi jinsia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.