Sikuhitaji tena sikutaki kabisa kwa sababu una mke wako

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
735
Ni wiki sasa nalazimisha penzi kwa jirani yangu hapa ofisini lakini majibu nnayokutana nayo Ni hayo kila kukicha. Sikati tamaa.

'Sitoweza kuwa nawe kwa sababu umeoa, namuogopa Sana mume wa mtu'

Njia gani mbadala itumike hapa?

Asante
 
Badili mbinu, Usimuingie kwa Gia ya Mahusiano sijui bora Mara thabiti...

Huyo analiwa kimasihara alafu ananogewa yeye mwenyewe anaanza kukusumbua kwa upendo wa dhati.

Fanya ivi... Anza kumwambia ... Haloo boss una buku hapo??? Jero je ?? Mia mbili je ?? Hahahhaha

Sema nn, anza kumuuliza uliza lini ana muda unamtoe out... Akikuambia hana...kua mtulivu , mwambie siku ukiwa namuda nijulishe.

Anza kumfanyia matendo ya huruma , mazaga zaga ...

Wanawake hulainishwa moyo na vilainishi ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooh wokeeeeey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana Na COVID 19
Tuchukue Tahadhali Kufuata Maelekezo Ya Wizara Ya Afya

Daladala Level Seat, Kusimamisha Kwa Mkeo!!!
Hapo Sasa Unatakiwa Kuwa Mpole
Maendeleo Hayana Chama
Wenye Wake Zao Hawachepuki
 
Ni wiki sasa nalazimisha penzi kwa jirani yangu hapa ofisini lakini majibu nnayokutana nayo Ni hayo kila kukicha. Sikati tamaa.

'Sitoweza kuwa nawe kwa sababu umeoa, namuogopa Sana mume wa mtu'

Njia gani mbadala itumike hapa?

Asante

Kama huwa anajibu hivi basi huyo ushampata...ni suala la muda tu
Tafsiri yake ni kwamba anakupenda lakini tatizo ni mume wa mtu

Mbinu iliyopo ni kumchunia,anza kushow zero interest yani usimpigie kama ulikuwa unampigia pigia,mkiwa ofisini fanya mambo yako tu....zile shobo zote kwake achana nazo

Siku atakayoamua kukutafuta(lazima akutafute) ndio siku kuku kaingia bandani...maliza
 
Mwisho wa point.... FULL STOP

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Back
Top Bottom