Mpenzi wa sirini ni mtamu kuliko anaejulikana🏃

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Shoga chizi: Money Penny nimekuona unavyoyarudi Instagram yako kama sio wewe, umetisher shogangu wewe lakini, NI mwisho wa reli😂😂

Money penny: hamna bwana nilikuwa nazuga tu, nambie anti sikuhizi Nani anakumiliki??

Shoga chizi: ah me nimeamua kutomilikiwa na mwanaume yeyote, kwasababu kumilikiwa sometimes NI utumwa 🙄

Money penny: kivipi?!🙄

Shoga chizi: me saivi nipo na wapenz wangu lakini hawajulikani na MTU yeyote.
kusema kweli NI mume WA mtu, mwingine hajaoa lakini ana demu wake sijui mnasema main chick
Wote nawaitia wapenzi WA Siri kwasababu sijawahi fumaniwa na wake zao au demu zao na pia tunakutana Kwa Siri sana na hawajuani na wote hawajawahi kugongana Kila mmoja na kalenda yake

Cha muhimu na cha msingi kilichonifanya nigome kumilikiwa NI kwamba nimegundua kuwa penzi la sirini linanoga mno kuliko lile la kujulikana, Kwanza mwanaume akijua umemfanya WA Siri, kuna mambo matamu anakupatia ambayo hampi mkewe au demu wake (main chick)

NI vile Tu Money Penny uliolewa mapema Sana, ungekuwa bado mtaani kama Mimi ungeunga tela, wenzio tunafaidi chini ya Jua balaa, mambo NI fayaa na maisha yanaenda?!

Je NI kweli, kuwa mpenzi wa sirini NI mtamu kuliko anaejulikana?! Au huyu rafkiangu NI chizi tu😂🏃🏃🏃
 
Tufanye ka-utafiti, naomba niwe msiri wako. Tutapata majibu tukiwa ndani ya huo mchakato!

Au unasemaje mama!?...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom