Msaada kuhusu haya mafuta

kingkongtz

JF-Expert Member
Dec 28, 2019
1,023
3,458
Natumaini nyote mu wazima wa afya.

Zikiwa zimebaki siku kadhaa nirudi mkoani kutulia na wife ambaye miezi kadhaa ilopita nilibahatika kutoa mahali kwa hiyo naweza nikasema naenda kuoa rasmi.

Sasa waungwana kuna mafuta huwa nayapenda sana hususan watu wakipaka ila sikuwahi kujua yanaitwaje.

Ni kopo fulan hivi jeusi la chuma kuna jamaa nishawahi kumuuliza akasema jina limemtoka ila wanayauza 6000 mpaka 7000 sijajua mikoani yanauzwaje?

Nataka ninunue nimpelekee mke mtarajiwa kama zawadi.


NB: Kuhusu mwandiko siko vizuri kiviile.
 
Kwa nini umechagua hayo mafuta ndio iwe zawadi kwa huyo bi harusi mtarajiwa?. Kwa nini isiwe gauni,sket na blauz n.k?. Mimi nimeongea hivyo ksbb naona ndivyo vinaonekana na vitakutengenezea heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini umechagua hayo mafuta ndio iwe zawadi kwa huyo bi harusi mtarajiwa?. Kwa nini isiwe gauni,sket na blauz n.k?. Mimi nimeongea hivyo ksbb naona ndivyo vinaonekana na vitakutengenezea heshima

Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vyote nishatimiza ndugu.japo naona kutakuwa na ugumu kwenye shereh kwa sabb ya jiwe kukataza mikusanyiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mplekee zawadi lakini isiwe mwisho kipindi hichi adi akiwa mkeo halali wa ndoa mfanyie hayo yote ukiacha utajuta, umleavyo ndio akuavyo
 
Jifunze na PUNYETO.....makopo kopo yao vichaa......jua mke sio ndugu yako.....
 
Mafuta ya kupakaa kwenye kopo la chuma!! binafsi hata idea haijaja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom