Kama demu ni mkali...

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,465
2,143
Kama msichana ni mkali hawezi kuwa na rahisi na kama akiwa rahisi hawezi kuwa mkali na kama unastahili kuwa na hiyo msichana huwezi kukata tamaa na ukikata tamaa jua kwamba hustahili kuwa na hyo demu ukweli ni kwamba kila mtu atakuumiza lakn jaribu kumtafta mtu ambaye utaweza kumvumilia.

Bob Marley once said.

images.jpeg


Its not over until its over...
 
Back
Top Bottom