Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Mu, hali gani wakuu?
Nafungua uwanja tuwe huru kuelezana ukweli vile ambavyo kila mmoja wetu angependa kuumbwa pengine tofauti na alivyo. Kwa mfano humu JF tupo Wanaume na Wanawake, hizi jinsia hatukujichagulia tumejikuta tu tupo hivyo na nidhahiri wapo ambao hawafurahii jinsia zao.
Yaani kuna wanaume ambao wanatamani wao ndio wangekuwa wanawake na kuna wanawake ambao wanatamani wao ndio wangekuwa wanaume na wote hawa wanasababu zao na hata wale ambao wanafurahia jinsia zao kama walivyoumbwa nao wanaweza kuchangia kwa kuelezea sababu ya kufurahia jinsi walivyo.
Nianze Mimi, ni mwanaume shababi nafurahia na najisikia fahari sana kuwa mwanaume kwasababu nimeumbwa nikiwa imara na ninaeweza kumudu kuishi katika mazingira magumu zaidi ya mwanamke,ninauwezo mkubwa wa kupambana na kutunza familia yangu, ndio ninaetegemewa zaidi na familia kuweka mambo sawa hata pale yanapotokea magumu na yaliyoshindikana kwa mwanamke zaidi napenda changamoto tunazokabilianazo wanaume katika maisha.
KARIBUNI WAKUU napenda kila mmoja wetu awe huru kutueleza kwanini anafurahia jinsia yake? Kwanini hafurahii? na kwanini anatamani sana angekuwa wa jinsia nyingine?