Wasalaam,
Hakuna kitu kigumu kama mwanamke kufungua pochi yake akupe hela yake, najua wengi tunalujua hilo.
Ili mwanamke akupatie hela yake fahamu kuwa ameona kitu ndani yako au ulimkosha haswaa...
U know what let me say sio status za whatsapp tuu hata account zao za mitandaoni. Halafu sibagui yani naangaliaga za wote yaani kiufupi naangalia.
Sasa sjui hii tabia ninayo mimi tu ama vipi...
Ndugu Zangu hebu tuwaambieni Ukweli dada zetu wanaoamini katika Make up, kwamba inaongeza uzuri na mvuto.
1.Akikuegemea na uso kama una shati jeupe basi utakuwa kama umejiburuza ukutani...
BABA NAOMBA MPOKEE MKWEO, MPOKEE KAMA ALIVYO.
Baba unanilaumu bila kutambua yaliyo nisibu, unanilaumu nimekuletea mkwa aina gani, naomba mpokee kwa mikono miwili. Huyu ndiyo anifaae kitinda mimba...
Na Ambangile, B
Muda wako ni kitu cha msingi sana ambacho familia yako inahitaji toka kwako, mume wako anashida saana na muda wako kuliko pesa unayoweza kumpa, halikadharika mkeo anashida sana na...
Waungwana habari zebu
Niko na mwanamke na nimezaa nae watoto wawili ,na tunaishi mikoa Jirani
Huyu mwanamke bado sijamtolea mahari zaidi ya kishika uchumba
Sasa wiki iliyopita nlienda...
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na...
Habari wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikiishi nae huyu rafiki angu kama mdogo wangu wa karibu sana ila jambo alilokuja kuniambia leo na kunambia nimpe ushauri kidogo nilisita na nikamwambia...
Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na...
Kuhusu Mimi;
Umri: Miaka 35
Kazi:Mwajiriwa Serikalini
Elimu:Shahada ya uzamili katika maswala ya anatomia ya binadamu.(Human Anatomy)
Familia/Mahusiano:Sina mtoto wala mke ingawaje niliwahi...
Oohhoooo!
Asee waseee hivi kwanini Hawa vimbaumbau weupe wanaongea sana, halafu wengi wao wanaongea fasta fastaaa, kama kanda inasokota.
Na Hawa vimbaumbau weupe vazi lao kubwa ni dela, au Ndio...
Dhumuni la barua hii ni kuomba radhi juu ya maisha uliyoyakuta kwangu !
Nikikumbuka tulipokuwa wote shule ya msingi pale kjjn kwetu Songambele, ulikuwa na ndoto nyingi sana, ulikuwa ukinisimulia...
Wakuu, nipo kwenye mahusiano na binti fulani ambaye nilikutana naye katika harakati za kutafuta maisha hapa hapa mjini yeye akadai ananipenda na wala hakuonyesha dalili tofauti ila siku za...
Zamani nilikua sipendi kudate na mwanamke aged Ila kadili siku zinavoenda naona umuhimu wa kudate na mwanamke aged
Nina sababu zifuatazo:
1: Aged wanaupendo wa dhati akikupenda anapenda kweli
2...
Acha tu niseme bi mkubwa wangu ni bonge la fighter. Licha ya kazi anayofanya kua na maslahi madogo lakini mambo anayoyafanya ni makubwa. Mama yangu ni mwalimu wa shule ya msingi ila mungu kamjalia...
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke...