future lawyer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 434
- 443
Habari wakubwa natumai nyote wazima ,
Ndugu yenu nina kisanga kikubwa kutoka kwa mzungu , nilimfahamu kupitia social media ambapo yeye ndiye aliyeanza kunitumia text nilivyoiona nilijubu bila kitete . Maswali yakawa mengi ananiuliza mimi bila ya kujua najibu tu nikaomba picha yake ili nimuone maana hakuweka profile picture hakusita akaituma kuiangalia ni mwanaume .
Moyoni nikajisema atakuwa mtalii tu anahitaji aelekezwe mazingira . Akaniomba namba yangu huku akiniambia anataka kuja Tanzania kutalii pia ikiwezekana tuonane maana tulikua tukiwasiliana sana. Sasa huyu mzungu kafika na tabia zake sizielewi anavi_element vya ushoga ushoga mara anisifie ashike muwa wangu anasema ananipenda (GAY) . Mimi ni kijana ninaye ijua dini nimejaribu kumuelekeza kuwa sijawah kufanya iko kitendo na siwezi anasema nitaweza tu nakaniganda kweli
MSAADA WENU WAKUU NIFANYE NINI