Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanna JF. Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale...... Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama; 1.kuachwa...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Imagine, I have been waiting for 5 Good Years to get married to my Baby Mama, Only to find Out she is getting married to another Man. I don’t complain but regretting to waste all those Years...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwakweli maisha yana siri kubwa sana, Kuna kipindi au wakati utajikuta huna mtu wa karibu anaye weza kusikiliza hisia zako wala kufanya jambo zuri na wewe, sio baba wala mama, sio ndugu wala...
17 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa nini Wanawake wakiafrika wanapenda kuzungushana sana. Hivi huwa hawawezi kuwa straight, yes or no?. Hiki napenda, hiki sipendi?. Aargh
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Bwana kuna huu ujinga wa hawa jamaa wanaochezaga na jeneza mabegani si mnawajua? Ebwana leo nimewaota laivu na kale kamziki kao walikowekewa halafu wananitazama huku wamenuna sana kama kawaida...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Eti ni kweli kwamba wanawake wenye nywele aidha kifuani au miguu au mikononi au vijendevu wanavutia kimapenzi pia katika idara ya 6 kwa 6 Hili nimeona mahali huu mjadala almost 95% ya wachangiaji...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wangu juu ya wanawake wa Sinza. Kwanza, mimi ni mdau mkubwa wa kuopoa vimwana au kutongoza mitandaoni hasa hii dating sites badoo(mtandao wa makahaba...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Nimetokea kuwapenda sana hawa wanawake, nilikutana nao wakati nakaa Moshi mjini. Ni wakarimu sana pia ni hard workers sana. Bado sijaoa ila lazima mke wangu atokee jamii hiyo. Bila kusahau wale...
5 Reactions
71 Replies
64K Views
Niombe radhi kwanza kwamba siko against single mothers. Mimi sio single mother ila sijui kesho yangu Kuna ndugu yetu bwana mdada mzuri tu anawatesa wazazi wake sana. Yuko 40 now aliamua kuzaa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ndimi? eeebana leo nimemeet na mwanadada mmoja hivi wa humu jf, ilikua tumekutana kibiashara tuu, kuna eneo lake alikua ananiuzia, kilichonishangaza ni uzuri wa huyo mwanamke aseee, type za...
9 Reactions
64 Replies
8K Views
Kuna vijitabia sikuhiz za wanawake kutokuvaa chupi.. Na wanafeel proud kujulikana kama hawavai chup! Sasa sijaelewa lengo ni nn!? Leo nimemuona mdada mrembo tu kavaa gaun ndefu ya kubana na...
0 Reactions
60 Replies
17K Views
Katika mahusiano, anayeumia zaidi kwa kutendwa ni mwanamke kwasababu anakuwa hana maamuzi aje aishi na nani kutokana na asili iliyopo ya kusubiri yeye kutongozwa. Kama atakuwa anatendwa mara kwa...
2 Reactions
89 Replies
7K Views
Habari wakuu, Eid Mubarak. Habari za pilika? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, napenda kupata tathmini zenu kuhusu hili sala. See, I got this friend of mine ambaye ni pure Christian (a girl)...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
Kuharibika kwa ndoa sio Jambo la kufurahia ama kupendeza. Ndoa ni msingi na mlango mkuu wa kupitishia baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Shetani kamwe hataki Wala kukubali kuona tunabarikiwa...
9 Reactions
61 Replies
13K Views
Nimeona familia nyingi, mshua kama hana pesa anakuwa na maisha magumu sana uzeeni kwa sababu mara nyingi watoto wanapitisha fedha kwa mama. Pia wanaume sio wepesi sana kuomba fedha kwa watoto ...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Eid al fitri Wahenga walisema usiache mbachao kwa msala upitao Usitukane mamba kabla hujavuka mto Yapata mwaka 2017 nilikutana na binti Fulani wa kisukuma ambaye alitoka zake chato huko na kuja...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Yaani mtoto mtundu anaweza kukufanya ufupishe safari kama ni ugenini. Mtoto unakuta hatulii, akishika hili ukimzuia , kashika jingine. Ukiwa mpole wanaweza kukuharibia hata vitu vyako, halafu...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
3 Reactions
7 Replies
883 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…