Je, ni kweli kwamba wanawake wenye nywele husisimua kimapenzi zaidi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Eti ni kweli kwamba wanawake wenye nywele aidha kifuani au miguu au mikononi au vijendevu wanavutia kimapenzi pia katika idara ya 6 kwa 6

Hili nimeona mahali huu mjadala almost 95% ya wachangiaji wa hiyo mada waliwafagilia sana wanawake wa sampuli hii....jee kuna ukweli wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjibuni mweka mada maana anataka ukweli umuweke huru
Nasubiria majibu ya wengi

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta thread ana tumia ID inayo sadifu jambo flani, na yeye ana manywele.
Sasa anataka kuthibitisha kama hayo manywele huwa hayamkeri bebi wake..!!
Naomba muichunguze avatar ya mleta mada, na kisha nina ambatanisha ya anao fanana nao.
IMG-20200222-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta thread ana tumia ID inayo sadifu jambo flani, na yeye ana manywele.
Sasa anataka kuthibitisha kama hayo manywele huwa hayamkeri bebi wake..!!
Naomba muichunguze avatar ya mleta mada, na kisha nina ambatanisha ya anao fanana nao.View attachment 1376546

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi wa kunifananisha na mashoga mbwa!Huwezi kukosoa sura yangu kwenye avatar ndo hivyo niliumbwa na mungu sa ulitaka nifanyaje?hii ni mara ya pili unacomment u.nge.se mara ya kwanza nilikukaushia sahv naona unazidisha upuuzi fala wewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ni kweli kwamba wanawake wenye nywele aidha kifuani au miguu au mikononi au vijendevu wanavutia kimapenzi pia katika idara ya 6 kwa 6

Hili nimeona mahali huu mjadala almost 95% ya wachangiaji wa hiyo mada waliwafagilia sana wanawake wa sampuli hii....jee kuna ukweli wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahahhh mkuu toplemon huyo kwenye avatar ni wewe?

Kama ni wewe naahidi kuanzia leo sishangai nyuzi zako
 
Nilichogundua hujiamini pia,asa kwanini umeitoa hiyo picha?

Mkuu hata sikuandika kwa ubaya,nyuzi zako hasa kule jukwaa la urembo,ID yako eti toplemon na ile picha uliyokuwa umeiweka ni haki kabisaaaa
Kutoa hiyo picha sio kwamba eti nimeogopa au sijiamini no,yaani nitoe profile kisa mtu flan kasema?aisee haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ni kweli kwamba wanawake wenye nywele aidha kifuani au miguu au mikononi au vijendevu wanavutia kimapenzi pia katika idara ya 6 kwa 6

Hili nimeona mahali huu mjadala almost 95% ya wachangiaji wa hiyo mada waliwafagilia sana wanawake wa sampuli hii....jee kuna ukweli wowote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli. Hata mie nikikupna mwanamke ana vinywele nywele miguuni au mikononi analeta mzuka wa siada..
 
Back
Top Bottom