Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,557
- 45,869
Niombe radhi kwanza kwamba siko against single mothers. Mimi sio single mother ila sijui kesho yangu
Kuna ndugu yetu bwana mdada mzuri tu anawatesa wazazi wake sana. Yuko 40 now aliamua kuzaa zake. Sijui aliamua au vipi sijui ila baba mtoto kumbe ni yule duniani hayupo ahera anatafutwa kwenye malezi ya mtoto hajawai kutoa hata mia.
Wanafamilia tukaona isiwe kesi dada mwenyewe hana kazi wala biashara mtoto apate malezi na elimu. Wakati watu wanapambana na huyo dogo dada akapata tena mimba, huyu baba wa sasa lahaula huyu hata hajulikani ahera Wala kuzimu, watu wakakubali tu.
Mtoto kafikisha miaka minne tena kapata mimba tena huyu baba yake ukioneshwa utaishia tu kumnunulia yeye maziwa na vitamins sijui hata waligegedana vepee na sperm zikatoka. Dada mwenyewe sio kwamba vepee kasoma tu hadi chuo cha ualimu
Wanafamilia wameamua kumrudishia wanae, hana mbele hana nyuma halafu ukikaa nae wala hajutii tena anakushauri ndugu yangu zaa hata mtoto mmoja. Maskini na watoto wake tajiri na Mali zake.
Inasikitisha sana na sio huyu tu masingle mother wengi huwa hawajifunzi ana mtoto ambaye baba yake kimeo ila bado ataongeza tena kama una mtoto kitulize focus na huyo mtoto wanaume ni walewale