Wanawake wa Arusha, Kilimanjaro na Manyara ni wakarimu

Nimetokea kuwapenda sana hawa wanawake... Nilikutana nao wakati nakaa moshi town.. Ni wakarimu Sana pia ni hard workers Sana
Bado sijaoa ila lazima mke wangu atokee jamii hiyo
Bila kusahau wale warembo wa Iraq... Daaah
kila lakheri mkuu oa mbulu atakufaa
 
Wa iraq ndugu huwajui .wanamaamuzi makali na ya haraka .hawapendi kuendeshwa wala kunyenyekea .oa lkn usimkaripie kumpiga au kumnyanyasa anaweza kukuchoma kisu au ndoa ikaisha.lkn ukiaminika na akakupenda kweli bila kumzingua wanamsimamo hatari.

Ila wakisema sitaki basi ni sitaki
Kweliii mkuuu
 
AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO. MBONA TUMEWAOA NA MAISHA NI HAPPY . Labda kama men hapendi ideas zake kuwa challenged kaoe kokote ambako mke anajua tu kazi mbili ; kupika na kumpa baba service baaaasi
Nyie mwaelewana wenyewe kwa wenyewe wachaga
 
Back
Top Bottom