Watu waliofunga ndoa ndio pekee wana haki ya kulalamika kuhusu usaliti, sio wazinzi wawili waliochanganyikiwa wanaojiita boyfriend na girlfriend. Sijasema msalitiane ila kama ikitokea acha...
Mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa ila ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, na hiyo ni kwa ajili ya umbo langu kiuno nyigu...
Wanasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni takribani 5yrs imepita tangu nifiwe na marehemu mke wangu. Mara baada ya mama watoto wangu kufariki nilikuta nimeingia katika mapenzi na mama mmoja ambae...
Hivi kama mpenzi wako anaongea sana kwa simu na rafiki yake wa jinsia tofauti ina maanisha nini hiyo?
Jamaa alikuwa anapitia simu ya manzi ake, amekuta kuna jamaa anaongea naye mpaka masaa 2 (kwa...
Mimi naitwa Jeff nakaa Dar. Nina miaka 40 natafuta mwanamke ambaye tutakubaliana kuoana. Nimeajiriwa na pia Nina shughuli zangu ndogondogo.
Awe mwembamba asiwe mnene hata akiwa mnene asiwe na...
Naingia home toka job, binti akajua ni mimi naye akatoka ndani kwake na kuzungukazunguka huku ananisalimia nami nikamjibu kama kawa
Ile nafunga tu geti na kugeuka niingie kwangu akapandisha kanga...
Nimejitajidi sana, nimejaribu sana ila imeshindikana. Maisha yangu yote sikuwahi na sitowahi lala uchi. Lazima nilale na boxer. Nimeshangaa kuna watu wanaweza.
Ila mchana naweza shinda bila nguo...
Nilipataga mchumba MMACHAME kwao choka mbaya nikajitolea kumsomesha/kulipa ada na matumizi yote.
Sasa kamaliza Bachelor Degree na kapata kazi UNICEF ghafla kanitumia message kuwa hanitaki tena...
Nina mshikaji wangu huyo ambae tangu utotoni tumekuwa kama marafiki lakini pia sisi ni watu ambao tunaheshimiana na tumekulia mtaa moja
Ila changamoto iliyojitokeza kipindi cha hivi karibuni ni...
Huwaga najiuliza sana. Kwa nini matajiri wa Kaskazini na hasa Arusha na Kilimanjaro huwa hawadumu? Huyu mrema, Msuya, wakina Alfred Masawe na wengineo wengi, kwa nini huwa wanapata masanga ya kufa...
Maisha ya mwanadamu hayatabiriki na hasa kutokana na majanga ya maradhi ya hapa na pale.
Mbaya zaidi nyakati hizi kuna maradhi yanapoteza uhai bila hata kujiandaa, umelala mzima unaamka...
Habari za muda huu wapendwa JF members
Naomba niweke mezani mada hii kama kichwa kinavyo msema.
Ni kawaida yangu siku zote katika mahusiano kitendo cha kuvunjika kwa mahusiano na mwanamke type...
Tusikimbilie kuoa kwa sababu umri umeruhusu kuoa, wakati uwezo wa kuhudumia ndoa bado kuimarika.
Kuna watu wanakimbilia kuoa, na kuanza kusumbua watu wengine, ndugu, jamaa na marafiki kuwafadhili...
wapo watu watakoponda,kukashifu au kutoa kauli tofautitofauti juu ya mtu me/ke kuwa single.
Ningenda kuorodhesha baadhi tu ya faida ya mwanaume/mwanamke kuwa single.
Kuwa huru kufanya...
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala...
Conversation inaanza hivi:
GIRL: Siku ile nilipokuja kukusalimia ndio nilikuona vizuri
BOY: Yeah ni kweli, (kwa utani) lakini si uliniona jinsi nilivyo mzuri kama wewe hahahah
GIRL: Hahah...
Kiukweli jana, nilipewa tunda na dada mmoja hivi, anajua sana, anajua kupekecha, mpaka vumbi linatoka wakati kuna nyama.
Aisee niliinjoy sana, asikwambie mtu kitu, mapenzi tunayopewa sisi wenye...
Nisipotumia ujana wangu vizuri nitasimulia nini uzeeni?
Hii ni kauli inayowakuta wengi vijana, na kuamini kinachoweza kufanyika katika ujana waweze kukifanya, kwa sababu ku-reverse umri ni kitu...
Inakuaje waoaji wengi wa Siku hizi Mara baada ya kufunga ndoa uongozi wa familia anamsukumia mwanamke?
Katika utafiti wangu nimekuja na majibu yafuatayo:-
1. Vijana wengi hawajiamini kama...