Tusikimbilie kuoa kwa sababu umri umeruhusu kuoa

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,189
39,954
Tusikimbilie kuoa kwa sababu umri umeruhusu kuoa, wakati uwezo wa kuhudumia ndoa bado kuimarika.

Kuna watu wanakimbilia kuoa, na kuanza kusumbua watu wengine, ndugu, jamaa na marafiki kuwafadhili mahitaji yao muhimu. Huu ni ulemavu, tuje na kauli hii; kama huwezi kutunza familia kwa chakula, malazi, tiba n.k tusioe.

Tunawachosha watoto wa watu, kwanza wanazaa kwa uchungu, halafu tunawachosha tena kufanya biashara ndogo ndogo ili watulee sisi wanaume.

Tubadilike wakuu.
 
Nashuri kuongeza kipengele kingine kwenye ndoa kabla ya kuona, mara nyingi kabla ya kuoana watu hupima HIV ,nashauri watu waongeze na kipimo cha akili Kati muoaji na kuolewaji .

Hichi kinaweza saidia hizi ndoa za sasa hivi kudumu aisee, maana ndoa nyingi zimekua mwendokasi sana
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha
 
Ya leo kali 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom