Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,453
2,000
Maisha ya mwanadamu hayatabiriki na hasa kutokana na majanga ya maradhi ya hapa na pale.

Mbaya zaidi nyakati hizi kuna maradhi yanapoteza uhai bila hata kujiandaa, umelala mzima unaamka marehemu.

Na kinachosikitisha zaidi unakuta mtu labda alikuwa na miaka 40, 30, 27, n.k na hakufanikiwa kuwa na mtoto hata wakusingiziwa.

Sasa inapotokea umefariki, unakuwa hujaacha alama yoyote hapa duniani zaidi ya kuwaachia ndugu zako majonzi tu.

Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama.
 

Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
382
500
"You have to teach history or to make it" kutoka kwenye series ya sleepy hollow.

So nijukum la kila mmoja kuchagua upende upi unamfaa. Kutuachia history ama kutufundisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom