Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

Hadza

Senior Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
162
Reaction score
164
Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.

Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.

Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
 
muache alale, kwa sisi watu wazima lazima pawe na kitaulo laini pembeni ya kitanda, noma sana.
 
Back
Top Bottom