Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,765
- 32,389
Nimejitajidi sana, nimejaribu sana ila imeshindikana. Maisha yangu yote sikuwahi na sitowahi lala uchi. Lazima nilale na boxer. Nimeshangaa kuna watu wanaweza.
Ila mchana naweza shinda bila nguo hata moja bila shida, nyumba nzima ntazunguka bila nguo. Ila usiku mwenzangu sipendi alale na nguo hata moja. Ila mimi nalala na boxer.
Nyie wengine mliofanikiwa hili mlianzaje?naona ni suala gumu sana.