Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Inakuaje waoaji wengi wa Siku hizi Mara baada ya kufunga ndoa uongozi wa familia anamsukumia mwanamke?
Katika utafiti wangu nimekuja na majibu yafuatayo:-
1. Vijana wengi hawajiamini kama kweli wao ni wanaume na wanaoweza kuwa baba bora pengine kuliko baba zao katika kuziendesha familia na ndoa zao.
2. Vijana wengi kukosa elimu ya kutosha (saikolojia ya mwanamke) kiasili wakoje kabla ya kuingia kwenye ndoa.Elimu hii ni ya kuzaliwa na siyo ya kufundishwa darasani au kutoka kwa wazazi.
----Hii ndio inayompelekea kijana kumwogopa na kumtetemekea msichana(mke) wake aliyefunga naye ndoa muda mchache uliopita.
3. Kijana kuogopa aibu kwa wazazi wake,wakwe,ndugu,jamaa na marafiki endapo mke atarudi kwao kwa kipigo au kumkemea alipofanya kosa lengo kuu likiwa ni kumrekebisha.
4. Kijana kukopi aina ya maisha "fomula" jinsi ya kuishi na mke badala ya kutengeneza ya kwake ambayo ni UNIQUE.
----Wengi wao staili hii imewatokea puani na kujiingiza kwenye "ndoa ndoano".
5. Kuoa mwanamke kwa "kupigiwa pande" ima na wazazi au ndugu.Mke wa aina hii lazima akushinde.
---Mara nyingi wanawake wa aina hii lazima mume atiririke ndani ya "fomula" yake na hawezi kumfanya chochote kwani anakuona wewe ni "domo zege" na "mwanaume-suruali" usiyejiamini.
Angalizo muhimu:-
1. Mara unapofunga ndoa nakuomba umtangulie mwanamke kwa kujifanya una "wenge" ili uweze kumsoma yupo upande upi (kushoto au k ulia)
2. Acha tabia ya kwenda naye "shopping" kama ikitokea kwa bahati mbaya asikulazimishe kununua vitu vilivyo nje ya uwezo wako au programu yako.
---Akionyesha kununa wewe jifanye kama vile hujamsoma (mpotezee kiaina)
3. Mwanzo kabisa mwa ndoa jitahidi kuwa na misimamo mikali isiyoeleweka na isiyosomeka kirahisi.
---Hapa itakusaidia kuzuia misimamo yake kuingia kwenye "fomula" yako ya maisha uliojipangia kuishi.
4. Jitahidi mwanzoni kabisa mwa ndoa kutoa maagizo mazito/magumu kutekelezeka kirahisi na utakapokuta hayajatekelezwa unatakiwa kutoa "kipondo" cha paka mwizi ili kumshikisha adabu.
Onyo:-
Ukiona anakusanya mabegi kwa kuondoka usimzuie bali mwelekeze sehemu ya kuacha funguo na ondoka eneo la tukio urudi jioni kusikilizia.
-----Akiondoka usimfuate wala usiende kwenye "vikao" vya familia bali tuliza akili na wao (yeye na ndugu zake) ndio waje wakuombe msamaha ili uendelee kuwa naye.
Kanuni hizi 4 walizitumia wazee wetu ndio maana waliweza kuoa wake zaidi ya mmoja.
Kwa kutekeleza haya hapo utakuwa "MWANAUME-MWANAUME"
"Jioni njema"