Aise! Leo nimetegwa na kutegeka kwa binti ya mpangaji mwenzangu

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,104
2,489
Naingia home toka job, binti akajua ni mimi naye akatoka ndani kwake na kuzungukazunguka huku ananisalimia nami nikamjibu kama kawa

Ile nafunga tu geti na kugeuka niingie kwangu akapandisha kanga usawa wa mapaja meupe yanayowakawaka, akaniaga "usiku mwemaaaa", nikamjibu fresh tu bado akageuka kunicheki kama nitamresponse khaaaa
 
Siku mwingine akikufunulia ukaona meusi niite fasta mkuu....Hope wewe unapenda weupe hivyo hatutaingiliana.
 
Unapoteza muda huku njoo kule kwenye jukaa letu tunapo kulaga kimasihala mpwa
 
Umemchunguza hana wakulugwa...isije ikawa katumwa na wakulugwa..maana wakulugwa wanatembeaga na camera kabisa mpwa..
 
Naingia home toka job, binti akajua ni mimi naye akatoka ndani kwake na kuzungukazunguka huku ananisalimia nami nikamjibu kama kawa

Ile nafunga tu geti na kugeuka niingie kwangu akapandisha kanga usawa wa mapaja meupe yanayowakawaka, akaniaga "usiku mwemaaaa", nikamjibu fresh tu bado akageuka kunicheki kama nitamresponse khaaaa
Afadhali ww mkuu mpangaji mwenzako tafuna tu, mtoto wa mama mwenye nyumba ananitafutia kesi tu hapa nishamchoka kwa mitego yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom