Dada wa mshikaji wangu ametokea kunipenda

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nina mshikaji wangu huyo ambae tangu utotoni tumekuwa kama marafiki lakini pia sisi ni watu ambao tunaheshimiana na tumekulia mtaa moja

Ila changamoto iliyojitokeza kipindi cha hivi karibuni ni Dada yake katokea kunipenda na ameomba awe na Mimi kama mpenzi wake lakini pia ameniambia hii ni siri yangu nisimwambie mtu

Kwa kweli hili sijui limekaa vipi kimtizamo kwa huyu rafiki yangu akigundua hili jambo?
 
Kwani unataka umwambie huyo bro wake?

Peaneni tuu hata akijua mshapeana.
 
Alikwambia iwe siri yenu alaf umeshaivujisha Siri kwetu mkuu nipe namba yake nikusaidie

GunFire
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom