Maungo yangu yananipa tabu sana. Natongozwa kila kukicha

Feld Marshal Tantawi

JF-Expert Member
Dec 24, 2014
609
1,007
Mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa ila ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, na hiyo ni kwa ajili ya umbo langu kiuno nyigu

Na nina tako balaa na miguu mizuri, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu sitoe mwanya hata kidogo japo ilinifanya nikafukuzwa hata kazi niliyokuwa nimeajiriwa baada ya kumkataa bosi

Wanawake wenzangu tujiheshimu hata kama unajijua wewe ni mzuri kama malaika muheshimu mpenzi wako usitumie kigezo cha uzuri wako kumdharau mpenzi wako na kumletea nyodo.
 
Hakuna kitu hapo, nyama tu hizo
Mambo wale mafimbo fimbo bana, weee
 
Back
Top Bottom