Nilichagua tabia ila nguvu ya maumbile inateketeza mapenzi yetu

pureman2

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
1,494
2,538
Nisiwachoshe wananzengo direct kwenye point

Eti wakuu unapotaka kuoa mke ni kipi mhimu - mvuto wa kimapenzi au tabia na busara?

Mwenzenu ati akiwa na adabu vipi asiponivutia nahisi kitu kimepungua

Wakuu karibuni tusaidiane
 
Huwezi kukosa vyote , pia huwezi kupata vyote cha msingi chagua unacho penda zaidi
 
Inawezekana tatizo sio maumbile. Tatizo unaona nyama ile ile kila siku, miaka nenda rudi.
 
Ukishinda hiki kishawishi ulichokisema hapa, ambacho wana ndoa wote hupitia, basi ndoa yako inadumu hadi kifo. Hata ukioa miss world, lazima ndoa yako itapitia hatua hii. Na hapo sasa ndio kuna tofauti kati ya mume na mwanaume au mke na mwanamke.
Inawezekana tatizo sio maumbile. Tatizo unaona nyama ile ile kila siku, miaka nenda rudi.
 
Mpaka Sasa ivi thread za majanga ya ndoa nilizosoma humu Ni Kama 28364684.. na asilimia 95 zimepostiwa na Wanaume.

Kwa utafiti huu na kwa kutumia principle ya loss and profit and balance sheet In a Petty cash book naomba nifike kwenye conclusion Kama ifuatavyo hapo chini

"Ndoa Ni kwa ajili ya Mwanamke.. waliosemaga ndoa ndoano hawakukosea.. Mwanaume Ni Kama samaki na Chambo Ni hicho kilicho katikati ya miguu ya mkeo.. ukinaswa umepatwa"
 
Back
Top Bottom