Binti acha kulalamika nimekupotezea muda, kwani nami hujanipotezea muda wangu?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Hii kauli inakera sana toka kwa mabinti

Umemtongoza kakubali, mnaanza mahusiano pamoja, mnasex pamoja, romance pamoja, outing pamoja, na ya kutolea unampa

Akianza wenge ukampiga chini analalamika oooh umenipotezea muda wangu? Kwa lipi labda nililokupotezea muda

Kwani Mimi sina muda pia ulionipotezea tulipokua wote?

Ooooh asante kwa kunichezea kwani wee mpira hadi nikuchezee

Acheni kujiona mna thamani kubwa zaidi ya sie wanaume, wee ikigongwa ukapigwa chini tembea kimya kimya.

Buenos dias
 
Hakuna usawa hapo mkuu. Ukitembea na mwanamke inawezekana ukampa mimba akatoa, au akazaa ama kuna wanaume amewakataa akijua yupo na wewe.

Ukimuacha ni kweli umempotezea muda.
 
Kwa sababu wewe ndio unampiga chini inawezekana ulishajiandaa kwa hili tangu mwanzo wa mahusiano
 
Mtoa mada ukumbuke;
Wanawake wengi wana expire date na pia wanakimbizana na umri.

Kwahiyo ukimkuta kwenye 28, ukamsogeza hadi 30's, ujue umempotezea muda. Maana wengine wakifika kwenye miaka 30's hadi sura na muonekano hubadilika na kuonekana kabisa kuwa huyu ni mtu mzima!

Mambo kama haya ndiyo husababisha ke wengi kuwa na list ya wanaume ili mmoja akizingua awe na mwingine.
 
wanawake wengi huponzwa na changamoto za wahtaj wengne... hawa wahtaj huwafanya wanawake wahisi wanathaman kubwa sana hata ka we ukizingua wewe hakuna shida... bt ukija mpga chini then akajua wahtaj walikua wanampambatu ili atoe papuch anaanza kujilalamishaa hadi anatia huruma... wadada achen kushoboka na wahtaj wengne hasa mkiwa kwenye strong relation
 
Inawezekana lengo lilikuwa kuishi pamoja kama mume na mke na ndio maana mahusiano yakaanza. Inawezekana katika safari hiyo ya kuelekea ktk ndoa, nikagundua mdhaifu ambayo yataifanya ndoa kama itafungwa inikoseshe amani, furaha, mafanikio.....Nadhani nikichukua uamuzi wa kuachana na huo uhusiano itakuwa ni bora kwetu sote! Mwisho, ni namna gani mwenzangu atapokea uamuzi huu? Uelewa wake ukoje ktk hili? Endapo niliingia ktk uhusiano na lengo halikuwa ndoa, hicho ni kitu kingine!
 
Bora umuwahi kumpiga chini,,akijuwahi yeye atakutesa na kukupa mawazo Bure!!

Maana huondoka kwa nyodo na kashfa kibaaoooo!!!
 
Ni kweli umempotezea muda. Mwanamke akifika miaka 30 anazaa kwa shida sana. Na kama hauna lengo la kumuoa usimsumbue ilhali wewe ndio ulimfuata. Hii kauli utakuja kuielewa pale utapozaa watoto wa kike wakachezewa na vijana miaka nenda na rudi ndo utajua kupoteza muda kwa mwanamke maaana yake nini
 
Ukiwa 15-20 wao you are smart man .
Ukiwa 21-26 guess who is that man he is a gentlemen.
27 -30 ni wachache uwazingue kama nyuma hata wewe umeshachujaga hiyo mali ukivua boxer mtu anaghairi na kama huna mtoi kwisha habari yako.
Ndio unapiga bao mbili moja na tatu unalia uwiii ni samehe.
Wote sisi ni wanadamu natunachunwa eti.
Muda,Uhai ndani kuna energy , akili ,nguvu walai wadada ukiwa nao uko kama gari mbovu inayobustiwa kila ikuzima ukitaka kumsema mtu kaa kwa kioo nauseme hivi bado naita je naweza inshu?
Sikia 27-30 kazi kwisha.
31-35 wasichana wadogo wanasepa wakizani mme wa mtu.
35-40 kwisha habari kuhusu wewe.
Point ni hii ukimuacha mtu hata wewe jiulize uko katika ule muonekano wa kujidai au wakupotezea .
Unaweza uringe kumbe nawe umechuja maringo kibao na mashine imeshachoka woi.
Good morning glory
 
Ni kweli tunakuwa tumepotezeana muda. Kila mtu aliwekeza kwa mwenzake. Hivyo matarajio yasipofikiwa hakuna haja ya kulaumiana.
 
Ukiwa 15-20 wao you are smart man .
Ukiwa 21-26 guess who is that man he is a gentlemen.
27 -30 ni wachache uwazingue kama nyuma hata wewe umeshachujaga hiyo mali ukivua boxer mtu anaghairi na kama huna mtoi kwisha habari yako.
Ndio unapiga bao mbili moja na tatu unalia uwiii ni samehe.
Wote sisi ni wanadamu natunachunwa eti.
Muda,Uhai ndani kuna energy , akili ,nguvu walai wadada ukiwa nao uko kama gari mbovu inayobustiwa kila ikuzima ukitaka kumsema mtu kaa kwa kioo nauseme hivi bado naita je naweza inshu?
Sikia 27-30 kazi kwisha.
31-35 wasichana wadogo wanasepa wakizani mme wa mtu.
35-40 kwisha habari kuhusu wewe.
Point ni hii ukimuacha mtu hata wewe jiulize uko katika ule muonekano wa kujidai au wakupotezea .
Unaweza uringe kumbe nawe umechuja maringo kibao na mashine imeshachoka woi.
Good morning glory
Kwa mwanaume mchawi pesa tu itainuliwa hata kama haitaki
 
Sasa kwa nini anayelalamika na kulia lia ni wewe kama kweli una hiyo power kwa Wanawake? Kwa kawaida wao ndio wangekuja hapa kulia, ila ajabu anayejimwambafai ,,kupiga chini” ndiye unayelia lia, acha kujidanganya na kuidanganya Dunia, hauna hiyo power, wewe ndiyo uliopigwa chini, ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom