Je, ulishawahi kuhisi kwamba mpenzi wako anakusaliti?

Nilihisi baada ya kuwa kuna mwamba mmoja alikuwa akimpigia simu tukiwa pamoja hapokei, nikamchana live akakanusha baada ya dakika kadhaa akakomfesi kuwa jamaa anamtongoza (anamtaka) nikamwambia kwa namna unavojieleza ni dhahiri jamaa alishakugonga - akakanusha, nikala pini miezi kadhaa mbeleni nikawafuma live mchana kweupe wakikulana nikasepa.

Nilifanya kila namna kuhakikisha namtafuna mke wa jamaa, niliisotea ile papuchi kwa takribani miezi sita nikaanza kukata tamaa, mara paap yule mwanamama akaanza kuonesha dalili za kujisogeza...ayaaaaaaa!! Nilikuwa napiga jalamba kwa kujiandaa kwa game nina uchu hatari.. siku ikawadia mtanange kati....kudadadadadeqqqq!!!

Baada ya hapo ikawa ni kama mbwa kaona chatu...mwanamama ananiletea namfumua naivurugua papuchi almanusra kumfumua fumua mshono manineeerrrrrrrr
 
Niliota ndoto ambayo niliona anayemkula na anayetumwa.

Nilikaa wiki 2 bila kusema lolote, siku namwambia hilo sikupindisha maneno nikamwambia unatoka na fulani na anayetumwa ni fulani, alilia sana sana maana alijua namuacha mazima.
Alijua nimeshapata story zote. Akaanza kuomba msamaha nikajua tayari.

Alilia sana kwasababu anajua msimamo wangu kwa demu msaliti. Alijua kabisa japo ni mpole ila kwenye suala la usaliti sina msamaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilihisi baada ya kuwa kuna mwamba mmoja alikuwa akimpigia simu tukiwa pamoja hapokei, nikamchana live akakanusha baada ya dakika kadhaa akakomfesi kuwa jamaa anamtongoza (anamtaka) nikamwambia kwa namna unavojieleza ni dhahiri jamaa alishakugonga - akakanusha, nikala pini miezi kadhaa mbeleni nikawafuma live mchana kweupe wakikulana nikasepa.

Nilifanya kila namna kuhakikisha namtafuna mke wa jamaa, niliisotea ile papuchi kwa takribani miezi sita nikaanza kukata tamaa, mara paap yule mwanamama akaanza kuonesha dalili za kujisogeza...ayaaaaaaa!! Nilikuwa napiga jalamba kwa kujiandaa kwa game nina uchu hatari.. siku ikawadia mtanange kati....kudadadadadeqqqq!!!

Baada ya hapo ikawa ni kama mbwa kaona chatu...mwanamama ananiletea namfumua naivurugua pauchi almanusra kumfumua fumua mshono manineeerrrrrrrr
We jamaa huwaga una visanga vingi vya papuchi
 
Aliniambia kuna boya anamsumbua sumbua km 5 times hv. Nikaona isiwe case naomba namba za huyo mpwa. Na hyo story hakuwahi kuisema tena.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom