Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,383
- 40,280
Ukifiwa na mke au mume huku ukiwa na watoto kuanzia wawili, ni vizuri usioe/usiolewe tena. Ni bora hamu zako uwe unazimaliza juu kwa juu lakini usikaribishe mtu kwenye mali mlizotafuta na mwenzako ambaye kwa sasa ni marehemu. Kumkaribisha mtu wa namna hiyo ni kuwatesa watoto na kuwanyima haki zao, mbali na wewe pia kuvurugwa. Wapo waliovurugwa kwa staili hiyo, walikuwa wako juu kimaisha sasa wako chini.
Tahadhari ni muhimu zaidi, wakuu mnasemaje?
Tahadhari ni muhimu zaidi, wakuu mnasemaje?