Mapenzi ya watu sio ya kuyaingilia

Mapenzi ya watu sio ya kuyaingilia

Ndio unajua Leo.!! Hujachelewa ila hata hivyo pole..😅
 
Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa sababu ya kuingilia mapenzi ya watu?
Hakukatwa kichwa kwa kuingilia mapenzi ya watu isipokuwa mbele ya mapenzi ya wawili Yohana akiwa wa watatu mwenye mpenzi aliambiwa kama unanipenda naomba kichwa cha Yohana mbatizaji kije hapa. Jamaa hakuwa na hiana akaenda kukikata
 
Asante kwa kunifungua macho.
 
Wakati mwingine sisi wenyewe tunafanya watu waingilie mapenzi yetu

Mf. Kila kitu unachopanga au umefanya na bae wako unatangaza kwa watu either kizuri au kibaya asa hapo,si umetoa siri??

Me nina misimamo yangu na shemeji yenu anajua kuwa hata tukigombana me na yeye no kuhusisha mtu ni me na yeye tu uzuri tunapendana

Mapenzi ya wawili tu watatu ni ibilisi unadhani huyo wa tatu ili awe ibilisi ni lazima awe ni mchepuko wa kati yenu wawili hapana [emoji3] aweza kuwa ndo huyo mnayempa siri
 
Back
Top Bottom