Nina mpenzi wangu ambaye tumependana kwa miezi 10 sasa, kaja kwetu Msoma kututembelea kutoka kwao Arusha ikiwa ni njia ya kujuana kiundani alikuja akakaa week 1 hotelini
Baada ya kumshawishi...
Habari za jioni Ma Bibi na Ma Bwana, Yumkini katika safari yako ya maisha umewahi kukutana na haya maneno Mr and Mrs, Je ulishawahi kujua Maana/kirefu za/chake kwa kila neno moja?!
Karibu...
Wanandugu wengine hawanaga uchungu kwa wenzao. Wewe uchumi wako hauko vizuri sana, mtoto alifaulu shule za serikali penye ada nafuu. Matokeo yake unataka umuamishie aende 'private' ada milioni 3...
Kuna muda pesa inakukatikia kabisa na unakuwa haujatoka hata nje siku hiyo sasa kunatokea emergence ndogo sana kama umeme kubakia unit 5 au gesi kukata ghafla.
Sasa imagine unataka upate push ya...
Nilikuwa na mahusiano lakini badaye yakavunjika, yalivyovunjika nikawa na wakati mgumu sana ku-recover lakini ikanibidi niwe na mahusiano mapya kwajili ya kupata faraja. Kwakweli sikuchukua mda...
Wana JF habari zenu
Demu wangu Jana amenishangaza Baada ya kunifahamisha ana mimba yangu,.
Nikamuuliza: Siku zako ulitakiwa uzione lini
Akajibu: 30, Jana umenunua kipimo nimekuta nina mimba...
Naombeni ushauri ndugu zangu, acheni kunicheka au kunikejeli, nitawashukuru sana
Tukizungumzia swala upendo, Kiukweli sijui namna ya kupenda ipoje,
Ni miaka minne ya mahusiano ya mbali, yaani...
Nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi leo. Ameniambia jambo limeniuma sana. Kanieleza rafiki yake anatembea na mke wake. Mara nyingi amekuwa akisafiri na hapo ndipo mke wake anatoka na jamaa...
Wakuu wa MMU, Kumekuwa na dhana ya muda mrefu ndani ya jamii kutokuwa wazi kuhusuana na ukatili unaoendelea katika mahusiano ya kimapenzi. Wengi wao wanaona si jambo la kiungwana kueleza juu ya...
Tofauti na bara mtu akijamba usemwa vibaya ila zanzibar ukijamba mbele ya mpemba walah utaskia anakubembeleza na kuomba ujambe tena na umruhusu ashke hapo ulipo jambia kwa nini hivj?
Kuna wanaume wengine ni watu wa ajabu sana,anakutongoza kwa kutumia nguvu mno
Na kama hutomkubalia ataanza kukuchukia na wengine kukutolea mabango( Si ustaarabu kabisa)
Kutongoza kuna kukubaliwa...
Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia.
Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie...
Wanawake wakikaa pamoja kwenye mazungumzo yao stori zinazotawala ni kuhusu wao wenyewe (kusengenyana). Pili kuhusu wanaume mwisho kabisa kwa uchache kuhusu maisha na jinsi ya kujiongezea kipato...
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia, unamfulia nguo, halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto.
Unajikunja mwenyewe kama kambale kwenye sex mtoto wa...
Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia...
Kuna wakati tunaachana na wapenzi wetu kwa sababu mbalimbali,wengine ni kwa wema wengine kwa shari.
Aliyekuwa mpenzi wangu nilitengana nae ananiombaga sana vijipesa vidogo vidigo,kukweli kuna...
Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar...
Natumai hamjambo wakuu
Wakuu kama una watoto wa kike basi pita hapa panaweza kukufaa, binti yangu alipotimiza miaka 6 nilitafakari nifanye kitu gani kumnusuru na mabaharia atakapobalehe ili...
Kuna shosti wangu yaani akilala na mpenzi wake lazima aje anielezee ilivokuwa. na sio ananaieleza mimi tu hata beki tatu wake huwa anampa hizo story, ilikuaje, walianzaje, kapigwa vingapi...
Ni binti wa baba mwenye nyumba under 18 na sasa wanamhoji kwa kina,
mbaya zaidi jioni mi nilitoka na yeye pia alitoka na alinipigia simu ila sikujua kama ni yeye na wakati wa kurudi ni kama...