Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

JE! KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA NI DHAMBI? Neno la Msingi: Yuda 1:8 “Kadhalika na hawa, katika KUOTA KWAO, huutia MWILI UCHAFU, hukataa kutawaliwa, na kuyatukana matukufu.” ‭‭ Watu wengi...
9 Reactions
29 Replies
15K Views
Kwa sisi waafrika wanawake ndio hupiga magoti km heshima ila miaka ya hivi karibuni tunaona wanaume kupiga magoti wakati engegement, hii imekaaje
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwamfano nina stress zangu nawazaga tuu, Yani nakua Kama napiga story mwenyewe, Yani ubongo wangu ni two in one, naweza nikawaza mtoto wa mh rais wa kike ananipenda Sana Ila anaogopa kuniambia...
4 Reactions
7 Replies
937 Views
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote. Mimi ni muelewa na...
14 Reactions
83 Replies
14K Views
Habari wakuu Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Elimu yangu ni chuo kikuu Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60 Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo Kikubwa awe...
12 Reactions
122 Replies
22K Views
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE "Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Kuna kundi kubwa la mabinti au wanawake walio kwenye mahusiano, simulizi zao kuhusu mahusiano yao ni tofauti kabisa na uhalisia. Utakuta binti anasema "nimesota sana kumpata huyu mme wangu yaani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja kwa moja kichwa chajieleza, tafiti mbalimbali zinasema mwanamke akipenda amependa kweli huwa habakishi ziada. Hii ni kweli kiasi cha kutoka na mm nimeshuhudia mara kadhaa. Kwa hili nawasifu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kuna bwana mmoja ni jirani ana utani sana na shemeji yake, kila wakikutana/kupigiana simu na shemeji yake humuuliza leo umempiga vingapi dada...
4 Reactions
43 Replies
50K Views
Takriban mwaka wa 4 sasa tupo katika mahusiano na mpenzi wangu. Maisha ya uhusiano wetu yametawaliwa furaha kwa muda mrefu lakini leo ni siku ya tatu amesafiri kikazi Dodoma na kilichonistua zaidi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumbe kuwa na demu mmoja jau sana yaani jitu unalibembeleza yeye tu kilasiku yaani jumba kubwa nalala pekeyangu week nzima mpaka wakina Annabele na The NuN wanitokee. Lenyewe linaringa hilo...
6 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari. Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?. Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text...
6 Reactions
119 Replies
9K Views
Natumai muwazima wa afya tele wananzengo. Leo napenda kuwakumbusha kidogo wanawake walio katika ndoa. Wanawake wengi walio katika ndoa wakikosewa/kukosana na wenza wao mara nyingi hulipiza kisasi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanaJF, naombeni ushauri wenu. Nina mwanamke wangu nampenda sana na ninamuelewa kwa tabia zake za uvumilivu,heshima kwa ndugu zangu, nikikosea hata nikikosea huwa mwepesi kunikosoa...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi, Kama mada inavyojieleza, nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na bint mmoja wa kimakonde yapata mwaka mmoja na nusu sasa, mwaka jana alijiunga na chuo kimoja akisomea...
6 Reactions
84 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu Jibu lilikuwa hivi: " ..... naona nisikupotezee mda na uwekezaji wako kwangu mimi sina furaha na mahusiano tutayoanzisha, siku njema" Uwekezaji huu ulikuwa ni wa miezi 7...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Naombeni ushauli wenu wana JF Hivi mtu ukishagundua mpenzi kabadilika kitabia hayupo kama zamani alafu kila ukijitahidi kumrudisha kwenye mstari unamuona kama amekuwa mzito Ni kitu gani cha...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi binafsi hawa viumbe, wananivutia sana ninapowatazama wakiwa kwenye mwendo. Hakika nafsi yangu husuuzika sana. Sijawahi kupata bahati ya kuwatumia hata kidogo. Huu utakatifu tunaojivika huu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo wakati nipo ofisini kwenye duka langu la vifaa vya ujenzi nilipatwa na kibweka Cha kushangaza. Kiukweli Mimi nisipofanya mapenzi kwa mda mrefu nakuwa napatwa na kitu Kama kifafa au dege dege...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Natumai hamjambo wananzengo Wakuu kuna hili suala la kuwashirikisha wake zetu katika kupangilia matumizi ya kipato cha familia, mara nyingi tunapopangilia huwa tunawakabidhi pesa za mipango...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…