Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikutana na Dada mmoja mzuri kiasi. Nikamuomba namba. Nikawa nachat nae kidogo siku kadhaa nampotezea. Nikamuomba kidogo tukakae mahali tuongee alikubali. Nikakaa kama mwezi weekend moja...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi? Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Habari za usiku wanajamvi. Basi bwana kuna mama mmoja mtu mzima aliyeko kitengo niliwahi mfanyia kazi yake vizuri tu halafu sikumtoa hata upepo. Maza yuko njema mbaya ni mwaka huu tu aliagiza v8...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Naombeni ushahuri, mke wangu ananipenda sana ila tatizo anadai kila kukicha pesa zangu ni zake na za kwake ni zake peke yake, tumegombana sana ninapo mwelekeza pesa tunazo pata ni zetu sote...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
hivi nyie slay queens and the like, mnawezaje kumpiga mzinga bila haya mwanaume nusu ya mshara wake, wakati kwa mungu tunatoa only 10%! how comes!!??? Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau habari ya weekend, Eti naomba kujuzwa au kufahamishwa kuwa kwanini ukipiga mzinga wa konyagi show ya mambo yetu ya kikubwa inakuwa verry fantastik.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Why lovemaking is important to couples 1. It is a celebration of the love the two have 2. It meets the sexual needs of both. When your needs are met you feel taken care of 3. It is God's gift...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
Wakuu utakuta wew umezoea labda 1.vinywaj vyako flan flan unaweka unakuta kama vilivyo kwnye frij.unarud from job unakuta mtu kamwaga au kanywa 2.umeweka mafuta yako labda ya siku tatu...mtu...
17 Reactions
144 Replies
15K Views
Leo ni Jumanne, tena asubuhi na mapema ila lazima salamu hizi nizitoe kwakweli. Wewe Officer (Capatain), mabega yako yamepambwa vizuri na nyota 3 kwenye kila bega zenye rangi ya dhahabu zing'aazo...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Mnaposema “Huyu mwanaume wangu nimemtengeneza mwenyewe sitaki kumuona mwanamke mwingine anamnyemelea“ huwa mnamaanisha nini?
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Miaka sita iliyopita mlitembelewa na shemeji yako mdogowe kike mkeo, baada ya kukaa miezi kadhaa mnazoeana sana na shemejio, yale mazoea unayatafsiri kwa tafsiri unayoijua wewe siku ya siku...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Tangu mwezi wa pili hatuna mahusiano means tuliachana yeye akapata mahusiano mengine Mimi nikaendelea kuwa single lakini kipindi yupo na mahusiano mengine alikuwa ananifanyia mambo ya ajabu sana...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Nipo nae kitandani tena ni usiku mkubwa, mara sim yake ikaita basi siiuongea chochote akapokea wakawa wanaongea kiluga cha kikwao. Nilìpomuuliza akasema ni kaka yake baada ya kumbana na kibao...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Haka ka tabia bwana nimekuwa nako kwa mda mrefu sasa. Hususan mtu akiwa na jina kama la mama yangu, doooo ndio nakaa naye mbali kabisaaaa. Sijui ni nini aisee
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Mimi ni Mwanaume miaka ni 32 natafuta Mke wa kuoa kabisaa mana nimechoka kuwa alone. Nahitaji Mke umri ni 24-30 Kama upo serious nicheki pm! Napatikana Njombe na nimwajiliwa wa serikali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Leo tuone ni mambo gani ya msingi kabisa ambayo kama wazazi tumeyaacha na kupelekea kuharibu maadili ya watoto wetu 1. Kumpa uhuru uliovuka mipaka Kwa kawaida mtoto...
10 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu bila shaka mnamalizia weekend vyema kabisa, kwangu haijaenda vizuri kwa sababu ya hili nalolileta kwenu tusaidiane mawazo wana nzego wenzangu! Issue iko hivi, serious nampenda huyu binti...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako. Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Sijui kama na ninyi wenzangu mmelibaini hilo. Wanawake wamekuwa rahisi sana. Kumpata, unahitaji msuli kidogo tu. Tazama: Mnakutana ktk mitandao ya kijamii, mathalani katika group la...
2 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…