Habari za usiku wanajamvi.
Basi bwana kuna mama mmoja mtu mzima aliyeko kitengo niliwahi mfanyia kazi yake vizuri tu halafu sikumtoa hata upepo.
Maza yuko njema mbaya ni mwaka huu tu aliagiza v8 mpya kwa gharama zake.Basi baada ya kazi yake kukamilika sikuwahi mtafuta wala yeye kunipigia,ingawa namba yake still nilikuwa nayo.
Leo naenda job asubuhi dereva akaniona maeneo ya job akaniwashia ishara ya taa nikajua ananipa hi tu kwani mie mtu wa watu anzia wafagizi,wahudumu,madereva napiga nao story vizuri tu,nami nikajibu kwa ishara ya taa then nikaingia mzigoni.
Mida ya lunch nikaonana na yule dereva tena safari hii nikiwa by foot akanambia,haloo maza anakutafuta sana,hata juzi nimekupigia hujapokea.Nimekusimamisha asubuhi hukurespond nikamwambia,ok nilijua unanipa hi.maza yupi huyo?akamtaja jina lake nikasema ok.Ila ana no yangu si angenipigia?
akajibu,simu yake amesema wajukuu walidondosha akanunua nyingine.kanipa no hii kasema mtafute.nikamjibu ok nitafanya hivyo.akanipatia namba huku akinisisitiza nisimsahau kwenye mchongo atakaonipa maza.
Basi mida kweli nikapiga ile namba akapokea Secretary wake akauliza nani,nikajitambulisha akampatia mama simu tukaanza kuongea.mama akanipa kazi nyingine nikamwahidi nitaifanya vizuri tu.baada ya hapo sasa akaniuliza hivi flan umeolewa,nikajibu hapana,wanaume wenyewe wa kuoa wako wapi?akasema mtoto je?nikamjibu ndiyo ninaye nikamtajia na umri wa mwanangu,akasema vp mna mpangogani?nikamjibu,ahh hatuko pamoja.
Akasema good nataka nikutafutie mzee,kama flan akamtaja mzee machache akulee wewe na mwanao.kuna mzee yuko vizuri sema bachelor ila hela ipo nadhani atakufaa.nikamwambia mama sawa haina shaka.ila nilikuwa namjibu kimzaha tu.
Basi pamoja na mengineyo hilo ni jambo alilosema limemfanya anitafute.eti atanipa huyo mzee kama zawadi kwa kumfanyia kazi yake vyema.nimerudi home ndo nakumbuka duh kumbe kuna mtu mwingine naishi naye kienyeji tu lakini. Ni mama mwenye heshima zake,pesa na wala hana matani nami.so hili jambo alinambia yuko serious nami nikawa najibu kimzahamzaha tu.je akinitafuta tena mama nimweleze ukweli?au nile bati niinjoi mema ya nchi?msaada wa mawazo wadau.