Naombeni ushauri juu ya huyu X wangu

Duduke

Senior Member
Jul 12, 2020
113
225
Tangu mwezi wa pili hatuna mahusiano means tuliachana yeye akapata mahusiano mengine Mimi nikaendelea kuwa single lakini kipindi yupo na mahusiano mengine alikuwa ananifanyia mambo ya ajabu sana mana nilikuwa namtumia text za kumbembeleza turudiane lakini alikuwa mkali na alikuwa hapendi kusikia chochote kile toka kwangu text zangu nilikuwa najibiwa na mpenzi wake.

Ila Mimi nilikuwa najua anajibu yeye sim yake alikuwa anampa uyo mwanamke wake coz tuna mtoto kuna mambo ilibidi niwe nawasiliananae lakini text zangu zote juu ya mtoto zilipitia kwani kwa mwanamke wake ndipo apate info zangu kwakweli ili swala liliniumiza sana badae akanistop nisitume text yoyote akihofia ntaaribu mahusiano yani Mimi nikaamua kustop.

Lakini saizi anafululiza kunitumia text za kunijulia hali na anafatilia chochote ninachopost status anacomment nikiweka picha profile anacomment Mimi simtafutag ila yeye Mara nyingi ananitafuta sasa naombeni ushauri niendelee kujibu text zake au niwe nazipotezea tu bila kumjibu mf anakuambia mambo!! Unaendeleaje!!

Uyo ulomweka picha ndo shemeji yangu akiona nimemweka mwanaume profile ivi nashindwa kumuelewa then utakuta ananiambia uwe Makini asije akakuumiza kama nilivyokuumiza Mimi naombeni ushauri yani simuelewi huyu X wangu kwakweli
 
Nzi ni nyuki mjinga

JF-Expert Member
Jan 13, 2020
1,078
2,000
Hakuna kitu tunapenda kama kujua we have no replacement, kuwa huko ulipo upo tu sababu huna jinsi baada ya kukuacha. Embu mjibu "we bwege, acha kutuma tuma massage, huna kazi?.
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
11,509
2,000
Tangu mwezi wa pili hatuna mahusiano means tuliachana yeye akapata mahusiano mengine Mimi nikaendelea kuwa single lakini kipindi yupo na mahusiano mengine alikuwa ananifanyia mambo ya ajabu sana mana nilikuwa namtumia text za kumbembeleza turudiane lakini alikuwa mkali na alikuwa hapendi kusikia chochote kile toka kwangu text zangu nilikuwa najibiwa na mpenzi wake.

Ila Mimi nilikuwa najua anajibu yeye sim yake alikuwa anampa uyo mwanamke wake coz tuna mtoto kuna mambo ilibidi niwe nawasiliananae lakini text zangu zote juu ya mtoto zilipitia kwani kwa mwanamke wake ndipo apate info zangu kwakweli ili swala liliniumiza sana badae akanistop nisitume text yoyote akihofia ntaaribu mahusiano yani Mimi nikaamua kustop.

Lakini saizi anafululiza kunitumia text za kunijulia hali na anafatilia chochote ninachopost status anacomment nikiweka picha profile anacomment Mimi simtafutag ila yeye Mara nyingi ananitafuta sasa naombeni ushauri niendelee kujibu text zake au niwe nazipotezea tu bila kumjibu mf anakuambia mambo!! Unaendeleaje!!

Uyo ulomweka picha ndo shemeji yangu akiona nimemweka mwanaume profile ivi nashindwa kumuelewa then utakuta ananiambia uwe Makini asije akakuumiza kama nilivyokuumiza Mimi naombeni ushauri yani simuelewi huyu X wangu kwakweli
Huyo ni mzazi mwenzio,fanya muongeze mtoto au hujasikia kauli ya meko kua mzae tu
 
Nyungu nyungu

Senior Member
May 6, 2020
103

Ana lolote....huyo anataka kupasha kiporo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom