Naona ukakasi ku-sex na mwanamke mwenye jina kama la ndugu yangu

uzuri mamaangu jina lake ni Unique ni ngumu sana kumpata mtu anaeitwa jina hilo...Sijawahi lisikia toka nakua shule na kote nilikopita. japo ni la malkia.
Ha ha ha hongera aisee,.. sisi ambao mama zetu Wana majina ya USWAZI. Kazi ipo
 
Rob Kardashian alisex na mtu aliyeshinda challenge ya kufanana na dada yake Kim Kardashian.

Lol.
 
Mbona sijaona tatizo hapo jina tu ndio liwe tatizo kinahusiana na nn kufanana majina sio dhambi mbona.
 
Back
Top Bottom