Sifa kuu ambazo kila mwanamke anatakia kuwa nazo

Clayxton

New Member
Jul 13, 2020
2
4
1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia hiyo huwa hana mvuto kwa mwanaume kwani atakuwa ni mwanamke fake.

2. Mwanamke anapaswa kuwa mtiifu na mwenye heshima na pia mwenye busara. Mwanamke hapaswi kuwa na kiburi na kutaka kuota mapembe ndani ya mahusiano. Heshima na utiifu haimaanishi kuwa tayari kunyanyaswa, hapana. Mwanamke anapaswa ampe mpenzi wake ama mumewe heshima inayotakiwa kama kichwa cha mahusiano yenu.

3. Mwanamke anapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea. Hapa utata kidogo, wapo wale wanaoamini kuwa mwanamke anapaswa kutegemea kila kitu toka kwa mwenza wake. lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuwa na uhusiano na mwanamke ambaye anaweza kusimama kwa miguu yake na kujitegemea pia.

4.Mwanamke lazima awe anajiamini. Naam, hapa haimaanishi kuwa anatakiwa kuwa kiburi na mbishi, hapana. Isipokuwa mwanamke anapaswa aonyeshe kujiamini kwa kile anachosema na anachotenda. Kujiamini kunamfanya mwanaume ajue kuwa ana mpenzi ama mke ambaye anaweza kukabiliana na mikwaruzo mbalimbali inayohitaji hoja na utetezi.

5. Mwisho, mwanamke anapaswa kuwa na mvuto. Hapa haimaanishi kuwa mrembo saaaana, hapana. Ina maana kuwa mwanamke anapaswa kuwa nadhifu kila wakati ili kumfanya mwanaume apende kuwa nawe na avutiwe kuwa nawe wakati wote. Sifa hizi tano akiwa nazo mwanamke, basi atambue fika kuwa Mwanaume atavutiwa nawe na uhusiano wenu unaweza kudumu na kudumu na kudumu. Unaweza kuongeza sifa nyingine hapa.
 
Mkuu, hizo ni sifa za malaika na sio mwanamke wa kwenye hii dunia ninayo ijua mimi...
Na kwahiyo picha ulio ambatanisha ndio umeuvuruga kabisa huu uzi wa sifa za mwanamke, maana huyu binti ndie nikimuona na kumsikia akiimba nyombo ya matusi kwa kisingizio cha tunda la tango.
 
Sifa alizozitaja ni za kawaida kwa binadamu yoyote

Labda kama huko kwenu malaika mnamchukulia kizembe zembe namna hiyo
 
Binadamu hawajakamilika
 
Mkuu, hizo ni sifa za malaika na sio mwanamke wa kwenye hii dunia ninayo ijua mimi...

Haha 😅 Comrade unatokea dunia gani??? Mbona wapo wengi wa namna hiyo, ni namna ya kukutana nao tu. kuna mmoja namfahamu anazo zote hizo ,yupo humu JF.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Haha Comrade unatokea dunia gani??? Mbona wapo wengi wa namna hiyo, ni namna ya kukutana nao tu. kuna mmoja namfahamu anazo zote hizo ,yupo humu JF.

Let's meet at the top, cheers
Duhhhh....
Naomba unipe id yake ili nipate wife hapa..
 
Duuh
Mkuu, hizo ni sifa za malaika na sio mwanamke wa kwenye hii dunia ninayo ijua mimi...
Na kwahiyo picha ulio ambatanisha ndio umeuvuruga kabisa huu uzi wa sifa za mwanamke, maana huyu binti ndie nikimuona na kumsikia akiimba nyombo ya matusi kwa kisingizio cha tunda la tango.
Duuh kumbe kuna picha tena??kweli sisi wa Freebasics tunakosa mengi
 
1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapo wanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia hiyo huwa hana mvuto kwa mwanaume kwani atakuwa ni mwanamke fake.

2. Mwanamke anapaswa kuwa mtiifu na mwenye heshima na pia mwenye busara. Mwanamke hapaswi kuwa na kiburi na kutaka kuota mapembe ndani ya mahusiano. Heshima na utiifu haimaanishi kuwa tayari kunyanyaswa, hapana. Mwanamke anapaswa ampe mpenzi wake ama mumewe heshima inayotakiwa kama kichwa cha mahusiano yenu.

3. Mwanamke anapaswa kuwa na uwezo wa kujitegemea. Hapa utata kidogo, wapo wale wanaoamini kuwa mwanamke anapaswa kutegemea kila kitu toka kwa mwenza wake. lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuwa na uhusiano na mwanamke ambaye anaweza kusimama kwa miguu yake na kujitegemea pia.

4.Mwanamke lazima awe anajiamini. Naam, hapa haimaanishi kuwa anatakiwa kuwa kiburi na mbishi, hapana. Isipokuwa mwanamke anapaswa aonyeshe kujiamini kwa kile anachosema na anachotenda. Kujiamini kunamfanya mwanaume ajue kuwa ana mpenzi ama mke ambaye anaweza kukabiliana na mikwaruzo mbalimbali inayohitaji hoja na utetezi.

5. Mwisho, mwanamke anapaswa kuwa na mvuto. Hapa haimaanishi kuwa mrembo saaaana, hapana. Ina maana kuwa mwanamke anapaswa kuwa nadhifu kila wakati ili kumfanya mwanaume apende kuwa nawe na avutiwe kuwa nawe wakati wote. Sifa hizi tano akiwa nazo mwanamke, basi atambue fika kuwa Mwanaume atavutiwa nawe na uhusiano wenu unaweza kudumu na kudumu na kudumu. Unaweza kuongeza sifa nyingine hapa.
Sawa mkuu umesikika🥂
 
Back
Top Bottom