Ingekua ni wewe ungefanya nini?

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Nipo nae kitandani tena ni usiku mkubwa, mara sim yake ikaita basi siiuongea chochote akapokea wakawa wanaongea kiluga cha kikwao. Nilìpomuuliza akasema ni kaka yake baada ya kumbana na kibao kimoja takatifu ikabidi aseme ukweli kwamba ni mshkaji wake ila ni wa kitambo hua anamchunaga tu na mzigo hampi na hapo alimpiga mzinga wa laki 4 akasema tutagawana pasupasu nisijali. Ndivyo nilivyokatwa makali. Kweli kesho yake mshkaji katuma akanigaia zangu 2.

Sasa nauliza kuna mapenzi ya kweli hapo au ndo mwendo wa kupotezeana muda? Wazoefu naomba weledi wenu na wakina dada niwekeni wazi.
 
Muoe muendelee kumchuna mwanaume mwenzio ***mbavu mkubwa wewe. Hapo kimbia nenda mbali kalie kanywe maji kisha jipige kifua mara tatu na Kuapa kutokutudiana na huyo Dada.

Umepata wapi ujasiri wa kugawana hela aliyohongwa? Siku ukimfuma huyo jamaa na mkeo kisha mkeo akakuambia ndie aliyetuma hela mkagawana utafanya nini?

Hakuna mwanaume anaetoa hela bure usikute saizi kaenda kuilipia huko.
 
Endelea kumshawishi awe anakugawia hizo lakilaki halafu baadae temana naye.. Japo ni kisa cha uongo lakn nmeamua nichangie tu
 
Sioni tatizo hapo. K si anakupa? Unakwama wapi? Wewe akija kwako muone kama bikra, akienda akimpa na huyo mwenye ukwasi fumba macho.

Na kama atakugawia na huo mkwanja ndo kabisaa, kamtambulishe home.
 
Mpaka hapo hujielewi..jielewe Kwanza Kisha uje kuomba ushauri.
 
Nipo nae kitandani tena ni usiku mkubwa, mara sim yake ikaita basi siiuongea chochote akapokea wakawa wanaongea kiluga cha kikwao. Nilìpomuuliza akasema ni kaka yake baada ya kumbana na kibao kimoja takatifu ikabidi aseme ukweli kwamba ni mshkaji wake ila ni wa kitambo hua anamchunaga tu na mzigo hampi na hapo alimpiga mzinga wa laki 4 akasema tutagawana pasupasu nisijali. Ndivyo nilivyokatwa makali. Kweli kesho yake mshkaji katuma akanigaia zangu 2.

Sasa nauliza kuna mapenzi ya kweli hapo au ndo mwendo wa kupotezeana muda? Wazoefu naomba weledi wenu na wakina dada niwekeni wazi.
Aca maswali ya kipumbavu....
Ngoja nkusimulie jambo

Kuna mwanamke nlikutana nae chuo huko beya TIA pale....nilimpenda sana na alikuwa n kisu kwel ila ttzo likaja kila siku naskia story mpya za kwake, mala wana walipanda dau laki tu akatoa mzigo, na maisha ya chuo laki n palefu, ...nkafuta ukurasa, la pili alinipaga simu yake iiharibika nmpelwkee kwa fund, nakuja fungua ile simu baada nakuta mtu ambaye alintambulisha n nduguye n bwan wake....nilompa mauchebe pale lakin tukarudiana tena....MAHUSIANO YA KIMAPENZ KWA KWETU UU NAHIS N KMA VITA...ILA MKUU NIIFANYA MAAMUZ NA NLITESEKA SANA MKUU..USPOWAI FANYA MAAUMUZ ITAKUCOST...alikuwa akichukua hela kwa majamaa ananletea...ila no future apo, ...ila mpaka leo nampenda dah, ...
 
Sioni tatizo hapo. K si anakupa? Unakwama wapi? Wewe akija kwako muone kama bikra, akienda akimpa na huyo mwenye ukwasi fumba macho.

Na kama atakugawia na huo mkwanja ndo kabisaa, kamtambulishe home.
Hahaha
 
Back
Top Bottom