Hivi wanawake huwa mnamaanisha nini kwenye hii kauli?

kyanyangwe

Member
Oct 31, 2018
77
150
Mnaposema “Huyu mwanaume wangu nimemtengeneza mwenyewe sitaki kumuona mwanamke mwingine anamnyemelea“ huwa mnamaanisha nini?
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,683
2,000
ANAPOMAANISHA KAMTENGENEZA YEYE ANAMAANISHA KESHAMLISHA LIMBWATA YANI KESHAGEUKA ZEZETA WAKE
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,589
2,000
Sio kumtengeneza physically tu kwamba alikuwa sio nadhifu etc.

But psychologically too. Unamkuta MTU wako was abused as a child, he has trust issues, he has loads and loads of garbage from his childhood and past relationships.

Sasa unaenda nae mdogo mdogo trying to heal him until the clouds are gone and he can see the sunshine again.

Ila mi natofautiana kitu, after all this and he still wants to be free? Let him. Have pride in yourself knowing that you made this world a better place in your own way.

Never cling to a man who doesn't want you.
 
ip_mob

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
222
500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom