Slay queens mnawezaje kuwapiga mzinga wanaume bila aibu

Slay queens mnawezaje kuwapiga mzinga wanaume bila aibu

Hapo ukute ata hyo 10% ujampa Mungu na Wala hzo kumbu kumbu Amna!

Wakati mwingine inatubidi tu kuadhibiwa na hawa viumbe...embu pokea mkwanja wako alafu peleka hyo 10% kwa Mungu Kama ujawapoteza hao malkia wa kuchinja![emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna manzi kachukua buku 10 yangu alisema atanilipa...siku ya nne namdai anajizungusha tu.

Kesho nimepanga namuamshia dude hadi amind anilipe kwa hasira kisha tusijuane kabisa.
Ikishindikana ntachukua hata kava la simu lake nilitundike ghetto tu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sh ngapiii???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom