Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora,
Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana...
Hii ishanitokea kwa wadada watatu tofauti, mdada anakutafta yeye mwenyewe, anakuja yeye mwenyewe, sio kwamba umemfata, na bando lake la simu anatumia kukupigia, tena mtu hauko sehem ya biashara...
Basi siku ya kwanza kukakumbatia kapenzi kangu, nilihisi kama shot ya umeme mwili mzima, shaaaaaaaa. Na kiukweli siku ile usiku sikulala, nilikuwa nawaza kile kilicho nitokea jioni ile.
Baada...
Unakuta kijana mdogo kabisa yaani yeye mkewe badala kumuita jina lake, yaan yeye mda wote "mke wangu hiki mke wangu kile" Huo ni ushamba. Tunajua huyo ni mkeo ila sasa imekua kero, unamtangazia...
Natumai hamjambo wanabodi.
Miaka ya sasa kumekuwa na ongezeko kubwa sana la singo maza mitaani, je sababu kubwa ya ongezeko hili hasa ni ipi kati ya zifuatazo:
1. Malezi mabovu ya wazazi wa sasa...
Habari zenu wakuu,
baada ya kuangaika na shughuri za kujenga uchumi wangu binafsi na kutengeneza maisha kuwa mazuri kwa ajiri ya kujenga familia kila siku mambo yanazidi kuwa magumu
Nipo kwenye...
Habar zenu poleni na majukumu
Niende kwenye mada, takriban mwezi na sehemu umesha kata huyu binti nilimpiga kibuti cha kimya kimya baada ya mizinga kushamiri ndipo nilipoona kuutua huu mzigo wa...
Tukiendelea kusubiri list ya watia nia watakaopitisha, unajua wanaume tunapenda kula mboga za namna mbalimbali. Sasa kipindi fulani nilikuwa na demu wangu tulizoeana na tulikuwa na mengi...
hope y'all doin great
Je umewahi kusikia sehem panaitwa Pattaya?kama jibu lako ni bado, basi Pattaya ni jiji lililo pembezoni mwa bahari huko nchini Thailand
Jiji hili ni maarufu sana kwa...
Nilizama penzini na binti wa kisukuma lahasha i take as mythical issue but dah mwanamke uyu aka jaaa kwa penzi langu akazama mazima. [emoji173]
Then after nikavimba kichwa,sifichi makucha yangu...
Wanajukwaa upo salama??
Kabla hamjalala wacha nitupie thread. Una gheto lako sindio? Sasa una dogo lako la kike let say anasoma Chuo, hivi kuja maghetoni kukusalimia kuna tatizo? Anakuja weeknd...
Diva anasema "mwanamke hudatishwa na show za kibabe kunako 6*6 na sio pesa za mwanaume, anasisitiza kua pesa ni ziada tu katika mapenzi "
Je, ni kweli au anajitoa tu fahamu Diva
Habari Wanajamvi.
Kama kichwa kinavyoeleza . Dada yangu kaniomba Ni mshauri akafanye kazi kwenye moja ya macasino yaliyopo hapa jijini Dar ili aweze kujikwamua kiuchumi kutokana na ajira kuwa...
Huyu X wangu simwelewi, mara atume text nimemic uchi wako, mara nimekumiss. Nikipost picha zangu haishi kunisifia nimependeza, nikipost mwanaume anauliza huyo ndio Shem? Yaani kila ninachopost...
Habari wakuu.!
Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia...
Mwezi mmoja uliopita nilipata nafasi ya kumtembelea dada yangu mmoja anayeishi mkoani nilipokua kikazi mkoani hapo. Tulikuwa hatujaonana kitambo sana hivyo alinisisitiza sana nifikie kwake kwani...
Maisha bila familia ni kazi bure, ni sawa na utumwa.
Ni vizuri familia kuipa nafasi katika maisha yako kama sehemu ya mafanikio. Wapo watakaosema familia haina umuhimu, wakiamini kama kuna...
Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani...