Nawapa hint wadogo zangu na ma brother wangu.
Ukijiona kila ukimpata demu uwezo wako ni kwenda guest house tu, tena huko unaomba ulipe kwa show time ili ubane matumizi basi jua umeyakimbilia...
Wasalaam wanaJF
Bila kuchelewa niende kwenye mada moja kwa moja! Miongoni mwa tatizo kubwa linalokumba vijana wengi kwenye miaka ya karibuni ni kukosa mahusiano yenye mantiki nikiwa na maana ya...
Umoja Wa Vijana Wasiooa Tanzania (UVIWATA) kwa pamoja tumekubaliana tusioe mwanamke yoyote kwa mda wa miaka 7, lengo kuu nikutaka kupunguza bei ya mahari, kwani ktk miaka hii mahari imepanda...
Baba yangu mzungu, mchanganyiko Irish/dutch. Mama yangu msambaa lakini nilishangaa jana kukuta hii post kule JIACHIE.
JE NI KWELI KUWA WANAUME WAKIBONGO HAWANA MPANGO?
Salama jamani huko?
Kuna...
Habari zenu wakuu,
Dada yangu aliolewa mwaka jana na mwenzake na kukawa na sherehe, viapo, n.k. Baada ya ndoa ikapita miezi kama mitatu hivi akarudi kwa wazazi akiwa na mimba akakaa hapo...
Binafsi nilikuta kwenye simu yake kanisave "KIBERENGE" na hiyo ilikuwa ni line ya Voda.. halotel nikakuta kanisave "KAMONGO"
Baada ya kutafakari kwa kina nikaona nimuache tu nibaki na huo...
Ndugu zangu wana JF kijana wenu nipo kwenye stress zone kwani mpaka nimeshapoteza mwelekeo wa maisha. Mambo yangu magumu sana!
Na mpenzi wangu kaniambia mpaka ukifika mwezi wa nane akiona...
Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana...
Halikuwa jambo la kawaida sana huko nyuma. Ndani ya miezi miwili nimepokea kadi za harusi 6, kilichonishangaza 4 kati ya hizo ni wadada wa kisomali, moja made in Syria na moja nyingine ndiyo ya...
When the Lionesses are in heat, they have a lot of sex at once in a single day. 20 to 40 times, and the Lioness becomes the one who demands to mate. So if a man is tired and can't keep up with...
Hii inatokea unampenda msichana na unamueleza ukweli kuwa una mke na familia kabisa alafu mnafanya mapenzi, hapo anajifanya amekolea sana maana mimi najiuliza sana hapa huwa panakua na true love...
Katika mahusiano kuna wakati mpenzi wako akaamua kukukalia kimya au kukuchunia bila sababu au kwa sababu zake anazozijua yeye akaamua tuu kukaa kimya hakutafuti wala nini?
Unadhani nini suluhisho...
Mahusiano ni sawa na uhai wa binadamu yanazaliwa yanaishi yanakufa iwe ndani ya ndoa au ndani ya uchumba.
Je, utafanyaje ukigundua mwenza wako ameshakuchoka iwe ndani ya ndoa Au uchumba?
Mada hii inahusu mume kumpa jina (surname) mtoto wa mke wako.
Kabla ya yote nitoe mfano mfupi wa jamaa mmoja anaitwa Miguel "Mike" Bezos, mwaka 1968 alipofunga ndoa na Bi. Jacklyn, baada ya ndoa...
Hatua gani utachukuwa baada ya mwenza wako kukunyima tendo la ndoa?
1. Je! Utachepuka kwa kutafuta mwanamke pembeni
2. Utasubiri mpaka hapo atakaapokuwa tayari
3. Utambaka
Hello JF
Kuna hii kauli huwa naiskia mara kwa mara kutoka kwa wanawake walio wengi wakisema kuwa wanataka kuwa kwenye mahusiano na wanaume wa maana.
Hivi tafsiri ya mwanaume wa maana ndio...
Kuna watu nature yao wanapenda usafi, akiamka asubuhi atasafisha alipo lala, bafuni atakuweka sawa baada ya kutumia, jikoni ataweka kila kitu sawa baada ya kutengeneza kifungua kunywa. A tafuta...
Dada zetu leo tunaomba mfunguke mseme ukweli msidanganye. Swali ni kwamba ukipewa pesa kubwa na mwanaume wako ni kiasi gani kwa zama hizi?? Na mara ya mwisho umepewa lin pesa? Na wanaume pesa...
Habari zenu wakuu! Poleni na msiba wa kitaifa uliopo.
Naombeni mawazo yenu kwenye hiki kilichotokea kwangu, ni kwamba nilikuwa nachati na demu wangu night kali sana na tukawa tunanye**Geshana...
Kwa mara nyingine narudia kukuomba wewe mrembo unaeishi Mwanza uwe na umri kuanzia miaka 23 hadi 30, kabila yoyote ipatikanayo kanda ya ziwa..... nakuhitaji uwe rafiki yangu, tukienda vizuri uwe...