Ndoa na wadada wa kisomali kushamiri, kunani?

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,730
7,979
Halikuwa jambo la kawaida sana huko nyuma. Ndani ya miezi miwili nimepokea kadi za harusi 6, kilichonishangaza 4 kati ya hizo ni wadada wa kisomali, moja made in Syria na moja nyingine ndiyo ya dada zetu wa kibongo.

Pia mbali ya hizi kadi, nimeshuhudia hizi ndoa za "cross-border" zikipanda chati sana siku za hivi karibuni hasa zikuhusisha vijana wa kibongo na dada zetu wa kisomali, syria nk.

Nikajiuliza, hivi ndio soko la dada zetu wa kibongo limekwisha au kuna tatizo gani hapa? Au hamjitumi uwanjani?
 
adc89ce37750f7dae2af087fa36aad39.jpg
 
Back
Top Bottom