Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Mada hii inahusu mume kumpa jina (surname) mtoto wa mke wako.
Kabla ya yote nitoe mfano mfupi wa jamaa mmoja anaitwa Miguel "Mike" Bezos, mwaka 1968 alipofunga ndoa na Bi. Jacklyn, baada ya ndoa, Mike alimpa jina la Bezos mtoto wa mke wake Jeff Jorgensen (4yrs old) na kuitwa Jeff Bezos. Leo hii Jeff Bezos ndio CEO wa Amazon na anamiliki dola bilioni 196.6 za kimarekani na kuwa Tajiri namba 1 duniani kwa sasa.
Nirudi kwenye mada, kwa wanaume wa JF una maoni gani pale umefunga ndoa na mwanamke mwenye mtoto, na akakuomba umpe mwanaye jina lako na kuwa wako (adoption)