Mwanamke wangu anataka kuniacha baada ya kuona sina mwelekeo wa maisha

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,905
2,000
Ndugu zangu wana JF kijana wenu nipo kwenye stress zone kwani mpaka nimeshapoteza mwelekeo wa maisha. Mambo yangu magumu sana!

Na mpenzi wangu kaniambia mpaka ukifika mwezi wa nane akiona hanielewi basi ataomba tu tuachane aendelee na maisha yake. Ameshachoka kusikia ahadi hewa toka kwangu kwani yeye mwenyewe umri umeenda na anahitaji maisha bora.

Naombeni ushauri katika hili ndugu
 

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,905
2,000
Broo nashukuru sana kwa ushauli mzuli sana
Kaka pambana sana , mwanamke a ayezungumzia kuachana sio mke Bora. . Wewe hesabu yeye ni kama gari ukiishiwa pesa ya service na mafuta huna budi kuliuza... endelea kutafuta maisha mazuri usimjali sana , kama ni wako atabaki tu kama sio utapata mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

King snr

JF-Expert Member
May 25, 2015
1,105
2,000
Usimchukulie -ve maana naye kuna maisha anayohitaji kuyaishi cha msingi mfanye awe chachu ya mafanikio yako pambana sana

Wakati nasoma kuna dem nilikua nampenda sana ila alikua anashoboka sana kwa watabe wa maths nlikuwa nawaonea wivu Sana kwa sababu nilikua nampenda nikaanza na Mimi kukomaa na maths aisee haikua easy ila nilikuja kuwa mtabe kuliko wao nikapata ujasiri sasa wa kwenda kumtokea cha ajabu sasa kumbe hata hawakua wakimla walikua friends tu dem alikua analiwa na Dogo mmoja mshamba tu hanaga hata mpango na class yani ye ni zaidi ya back bencher maana huwa anakaa nje ya darasa muda wa vipindi

Nilijifunza kuwa kitu Ukiweka nia unakipata nilikuja kuwa mtabe wa maths(not easy) na demu nkampata (very easy )
 

Paula Paul

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
3,379
2,000
Kuna semina niliwahi kuhudhuria.
Walishauri, kijana kama hauna mwelekeo wa kuoa karibuni au maisha bado hayajakaa sawa date na mwanafunzi.

Ukidate na mwanafunzi muda mwingi anakuwa shuleni na bado hana mawazo ya kuolewa huku na wewe ukiendelea kujipanga. Mpaka amalize shule utakuwa umeshajipanga.

Lakini ukidate girls waliomaliza shule wapo mtaani wanachowaza ni ndoa tuu. So kama haupo na mpango wa kuoa karibuni ni changamoto sana. Atakuacha na ataenda kuolewa.

Hebu fikiria hauna mpango wa kuoa leo wala kesho na mwanamke anamiaka 28 au 29. Ni ngumu kukusubiri. Na bado kuna chance akusubiri na bado usimuoe.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,502
2,000
Yeye hana kazi au hana mtaji wa japo kukukopesha ukafanya chochote ukipata ukamrudishia pesa yake? Nayy pia ana wajibu wa kujitegmea sio kukutegemea ww mtoto wa kike ajitambue ila sometimes na nyie haki yenu kuachwa wengine hamjitambui hata mbebwe vp natumai ww sio miongoni mwao


Sent using Jamii Forums mobile app
Wee acha kumshauri mwenzio upuuzi... Eti akope kwa gelofrend wake.. Hawa viumbe unawajua unawasikia? Ataishia kuambulia dharau tuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom