chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
Hii inatokea unampenda msichana na unamueleza ukweli kuwa una mke na familia kabisa alafu mnafanya mapenzi, hapo anajifanya amekolea sana maana mimi najiuliza sana hapa huwa panakua na true love au ni zuga?