Ni hatua gani unaweza kuchukua ukigundua mpenzi wako ameshakuchoka?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Mahusiano ni sawa na uhai wa binadamu yanazaliwa yanaishi yanakufa iwe ndani ya ndoa au ndani ya uchumba.

Je, utafanyaje ukigundua mwenza wako ameshakuchoka iwe ndani ya ndoa Au uchumba?
 
Aisee kama ni mapenz bora uachane nae tuuu ila kama mke,

Itabid Ujitathimin ni wap una kosea
 
Aisee kama ni mapenz bora uachane nae tuuu ila kama mke,

Itabid Ujitathimin ni wap una kosea
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ametoa Muongozo Kwa Wapenzi Ila Siyo Mke!!!

 
IMG_20200727_204716.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom