Mambo ya Nature haya...

baptist

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
426
255
Nature inaonyesha hivi idadi kubwa ya wanaume hupenda kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi, huku idadi ndogo ya wanaume upendelea kubaki kwenye mahusiano na mwanamke mmoja.

Kwa upande wa pili wanawake wengi wanapenda kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja, huku wanawake wachache wakipenda kuwa kwenye mahusiano na wanaume wengi. Hiyo ni nature tu.

Na hii ni sababu wanawake wameumbwa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja kwasababu hutumia muda, nguvu na akili zao kwenye malezi ya watoto wao.

Pia tafiti zinaonyesha kuwa wanaume hupenda kuwa kwenye mahusiano na wanawake wengi kwa kipindi kifupi tu Cha maisha yao Ila baadaye karibu wote hupenda kurudi kwenye mahusiano ya mke na mme mmoja tu kuendeleza uzao wao na maisha ya ndoa.

Sasa Kama mme wako bado yupo kwenye mahusiano ya na wanawake wengine, hiyo ni nature bado inafanya kazi, huwezi shindana na nature😀😀😀

Sasa kama mkeo pia naye bado anawajuba wengi pole Sana Kamanda, nature inafanya kazi yake..

Sasa utafanyaje na nature yenyewe inafanya kazi inabidi kutulia tu, mpaka hapo mambo itakaa sawa..

Kumtimizia kila kitu siyo tatizo, weka na swala la nature kwenye fikra zako

Tafiti zinasema huwa wanatulia baada ya kipindi Cha muda mfupi, tatizo hicho kipindi hakijulikani kitaisha lini😀😀

Vumilia tu maana ndo nature imekutupa huko....🚶🚶🚶
 
Hii sio nature its about time and age
ukiwa na miaka 17-29 unawapenda wanawake wote unaowaona
ukiwa na miaka 30-45 unampenda mwanamke mmoja tu
ukiwa na miaka 45 na kuendelea unawapenda wanawake wote kasoro mmoja
hiyo ni fact
 
Back
Top Bottom